Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,602
- 46,766
Unenda zako mahali, umenyuka pamba zako freshi halafu namna gani vipi umebugi step, umeruka kojo ukakanya nnya ๐๐
Ilinikuta siku fulani ilibidi niwe kauzu nitembee hivyo hivyo..๐คฃ
Ilinikuta siku fulani ilibidi niwe kauzu nitembee hivyo hivyo..๐คฃ
๐๐๐๐๐ Pole mkuu inakera sana. Utatamani umjue mwenye gari nae umvizie umtupie hata yai viza.Jana tuu hiyo nimenyuka Converse Nyeupe .. Oceanic blue denim trouser n Jacket.. Ndani white T-shirt .. Sina hili Wala lile naenda somewhere before nifike .. ilikuwa karibu na nyumbani tuu .. akapita mwehu na Subaru yake Kama risasi kulikuwa na maji yametuama .. machafu dah ... Kitendo Cha sekunde nikawa sitamaniki...๐๐๐๐๐ .
Kwa hasira nikaamua kuingia Kwenye havyo maji machafu nichafuke vizuri.
Ujinga sipendagi