Watch your mouth pal, don't be swayed with propagandaZilikuwa kiki za wapumbavu MATAGA kuamini kitu ambacho hakina uthibitisho kwamba kinatibu
Walisema NIMR nao wamegundua dawa. Yaani ujinga juu ya ujingaTanzania tuna watawala hivi unajaza mafuta ndege na kulipa posho watu baada ya hiyo dawa kuja huku tunaona kimya kabisa yaani kama hakijatokea kitu ,vituko juu ya vituko kazi yao kutangaza umbea wa nchi zingine
Ona huyu🙄Watch your mouth pal, don't be swayed with propaganda
Yaani ni laana haiwezekani mtu ameajiliwa halafu anakwenda anakaa nyumbani kwake miezi miwili halafu waliomwajili wanamuuliza vipi mtumishi mbona hauonekani Ofisini ?Unajibu upupu ohh mimi huku ni nyumbani kwangu kwani kuna mtu ambaye hanakwake! hizo laana tunazosema mtu anaamka na kufanya loloteWalisema NIMR nao wamegundua dawa. Yaani ujinga juu ya ujinga
Yaani watu ni kama vile wamerogwa
Unataka kuniaminisha kuwa zile cartoon 12 alifatia family yake kama kikombe cha loliondo, maana nae mtoto aliumwa.Tanzania tuna watawala hivi unajaza mafuta ndege na kulipa posho watu baada ya hiyo dawa kuja huku tunaona kimya kabisa yaani kama hakijatokea kitu ,vituko juu ya vituko kazi yao kutangaza umbea wa nchi zingine
Ipo haja ya kufunga mwezi mzima na kuwaombea viongozi na wananchi kwa ujumlaYaani ni laana haiwezekani mtu ameajiliwa halafu anakwenda anakaa nyumbani kwake miezi miwili halafu waliomwajili wanamuuliza vipi mtumishi mbona hauonekani Ofisini ?Unajibu upupu ohh mimi huku ni nyumbani kwangu kwani kuna mtu ambaye hanakwake! hizo laana tunazosema mtu anaamka na kufanya lolote
Ndio tafsiri yake mkuuUnataka kuniaminisha kuwa zile cartoon 12 alifatia family yake kama kikombe cha loliondo, maana nae mtoto aliumwa.
Research kimiaaa hamna update ya Madagascar's.
Kama manunuzi yamefanyika nn hicho kidogoUnataka kuniaminisha kuwa zile cartoon 12 alifatia family yake kama kikombe cha loliondo, maana nae mtoto aliumwa.
Research kimiaaa hamna update ya Madagascar's.
Kutetea ujinga ni in-born character au ?Kwani Malaria haipo japo kuna dawa?
Nadhani Mungu ametuacha thus only in Africa ndo unayakuta hayaIpo haja ya kufunga mwezi mzima na kuwaombea viongozi na wananchi kwa ujumla
😁😁 jamaa anamtisha utafikiri amemnunulia simu,MBOna huyu🙄
Kutetea ujinga ni in-born character au ?
Mle mtishamba ulishachacha siku nyingi tu.Habari za leo inaonyesha maambukizi mapya ni 42 na vifo ni watu 3...swali je tiba yao kweli inafanya kazi kama kiongozi wao alivyodhihirishia ulimwengu.
Mpaka leo maambukizi ni 698 vifo 5 na waliopona 164...
View attachment 1462965