Vipi ile chai ya madagasca imekuaje tena?

KITAULO

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
1,926
2,778
Habari za leo inaonyesha maambukizi mapya ni 42 na vifo ni watu 3...swali je tiba yao kweli inafanya kazi kama kiongozi wao alivyodhihirishia ulimwengu.

Mpaka leo maambukizi ni 698 vifo 5 na waliopona 164...

20200529_220132.jpg
 
Tanzania tuna watawala hivi unajaza mafuta ndege na kulipa posho watu baada ya hiyo dawa kuja huku tunaona kimya kabisa yaani kama hakijatokea kitu ,vituko juu ya vituko kazi yao kutangaza umbea wa nchi zingine
Walisema NIMR nao wamegundua dawa. Yaani ujinga juu ya ujinga
Yaani watu ni kama vile wamerogwa
 
ivi kwel umenikumbusha duu hii inch noma nilisha sahau box 13 nadhan wameonja onja lakin hakuna mrejeshoo

pongez juakali
 
Walisema NIMR nao wamegundua dawa. Yaani ujinga juu ya ujinga
Yaani watu ni kama vile wamerogwa
Yaani ni laana haiwezekani mtu ameajiliwa halafu anakwenda anakaa nyumbani kwake miezi miwili halafu waliomwajili wanamuuliza vipi mtumishi mbona hauonekani Ofisini ?Unajibu upupu ohh mimi huku ni nyumbani kwangu kwani kuna mtu ambaye hanakwake! hizo laana tunazosema mtu anaamka na kufanya lolote
 
Tanzania tuna watawala hivi unajaza mafuta ndege na kulipa posho watu baada ya hiyo dawa kuja huku tunaona kimya kabisa yaani kama hakijatokea kitu ,vituko juu ya vituko kazi yao kutangaza umbea wa nchi zingine
Unataka kuniaminisha kuwa zile cartoon 12 alifatia family yake kama kikombe cha loliondo, maana nae mtoto aliumwa.

Research kimiaaa hamna update ya Madagascar's.
 
Yaani ni laana haiwezekani mtu ameajiliwa halafu anakwenda anakaa nyumbani kwake miezi miwili halafu waliomwajili wanamuuliza vipi mtumishi mbona hauonekani Ofisini ?Unajibu upupu ohh mimi huku ni nyumbani kwangu kwani kuna mtu ambaye hanakwake! hizo laana tunazosema mtu anaamka na kufanya lolote
Ipo haja ya kufunga mwezi mzima na kuwaombea viongozi na wananchi kwa ujumla
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom