Vipi hali ya Jimbo lako, upepo unavumaje?tupeane updates!

Mkuu me ni mkazi wa ukonga Ukawa wana advantage kubwa ya kushinda but huyu bwana Waitara ana delay mwenyewe kupiga kampen yaan yeye anafanya kampen kivule na kitunda tu Gongo la mboto na mitaa yake hafiki na ndo kuna kura nyingi sana maeneo hayo

Mbona nasikia kuna wagombea wawili wa UKAWA huko? CHADEMA na CF. Kwahiyo waatampa advantage Slaa kushinda
 
Lukuvi,iddi Azan,mtemvu,kawambwa,mwakyembe,mwigulu,filikunjombe,january,tibaijuka,chenge,muhongo,zungu,kwa Pinda,lizione,ole Sendeka,bashe,chato,msukuma(geita),moro Yote,kwa Mama Anna Makinda,kwa Nchimbi,simbachawene,waziri Wa Maliasili Na Utalii....!

Kwani Anna Makinda Na Mchimbi Bado Wanagombea Ubunge??
 
Huku kwetu ccm wanapungua kila siku kama tempo wanavoisha na ni nyumba kwa nyumba mpk kieleweke
 
Hili jimbo la Kivu nililopo upepo unavuma toka Kaskazini mashariki kuelekea Kusini Magharibi,Intact upepo huu unavuma kwa 80km/hr.
 
ROMBO ni JOSEPH SELASINI na LOWASSA, mgombea wa CCM ni kama asivyosikika MGOMBEA URAISI WA TLP bwana LYIMO
 
Hapa arumeru mashariki ni nassar na jembe lowasa mgombea wa ccm hata ajafungua kampeni na sijui hadi xaxa vp tena kashakata tamaa xana
 
Mbeya mjini (SUGU) na Rungwe magharibi MWAMBIGIJA MZEE WA UPAKO) UKAWA wanapiga penati goli ambalo halina kipa hivyo ni suala la muda tu hawa jamaa wanangoja kuapishwa
 
Back
Top Bottom