Vipi hali ya Jimbo lako, upepo unavumaje?tupeane updates!

Mwanangu hapa magu habar ya mjin ni ngongoseke na lowasa tu! Nimejarib kuuliza jina la mgombea ubunge wa ccm wakaz weng wanasema ni festus limbu ingawa najya kuwa sie yan hajulikan kabsa
 
Upepo huku unavuma kwa ukali sana majani makavu ya miti yanapukutika
na vumbi jingi linatimuliwa! Wamama wanainama kushikilia nguo zao ili kujisitiri.
Lo! hatujapata kuona upepo wa aina hii - metaphorically speaking!
 
Jimbo gani mkuu?
 
hahaha..sikuelewa mpaka niliposoma signature yako...
 
Jimbo LA Ukonga ni Waitara na Lowassa.

Mpinzani Wa Waitara kwa Mbali ni Jerr Slaa Wa CCM ambaye anaonekana Usiku tu.

Khali ni Mbaya Hata Mkutano unadhani wamekata tamaa.

anaishi Mikocheni.........na watu wakaribu wanasema sanasana atapata za Chanika..sehemu nyingine ya Jimbo hana Chake..Ila kwa kuwa ni kamati Kuu.......''la mkono'' haliepukiki kuepusha fedheha...
 
Hapa tarime mjini ni ester matiko na vijijini john heche wanasubiri kuapishwa chedema ndio habari ya huku tarime.
 
Back
Top Bottom