Apumzike kwa amani
Kiongozi kwa kweli haya mambo huwa hayatabiriki wewe bora uyaache yatakuumiza kichwa sababu unapokuwa mzungu wa roho na kugharamia sana matokeo yake pesa yako hiyo hiyo wanaenda pewa wanaume wenzio wewe unachukuliwa buzi tu, na ukiwa huna kitu ataenda nje pia sababu wewe huna mkwanja, basi ni majanga tu.
Omba itokee upate mwenye kuelewa maisha ambae mtaendana
muda mwingine pesa sio kila kitu
mie nipende kwa dhat na kuniheshim
Kwa ulimwengu wa leo..vyote vinaenda...Mapenzi, pesa.....Maisha yamekuwa magumu sana...Ukiwa una do huku huna kitu mfukoni, hujui utakula nini, unadaiwa kodi, yaani hisia za mapenzi zinapotea kabisa....Unaweza do lakini usifikie kileleni...Ila ukiwa una do wkt ukiwa na uhakika wa kuishi mbona mambo mwake mwake...Utabinjuka hadi kuche style zote utaweka....
ukiona hivo ujue anafikishwa vizuri kunako 6x6 na huyo jamaa ,.... Hakuna kingine zaidi ya hicho ... Hakuna mapenzi hapo
Mambo vipi bi dada uzima upo?
Nani kilikuu??
Eti! Umesema anakula madem wakali hana hata 100 ? mmmhhh labda wakali sio kwa maana ya wazuri.
Haya yote yametoka wapi?Mkuu asa hutaki kuamini au ?? Ivi unafkiri kila mtu ana gundu kama ww ?? Utaishia kupiga nyeto tu mdg wang....
Njaa ya pesa wanayoIvi unafkiri kila mwanamke ana njaa ya pesa ??? Utakua umeishi sana uchwara ndio maana kwako ni kitu unaona hakiwezekani..
Mademu wa hivyo wapo wangapi? Acha stori za kahawakuna watoto wa kishua mjini hapa hebu tembea uone, mtoto unakuta anatembelea range rover sports mshua wake ana gharamia wese kila kitu, kila siku dem anabadili magari kwao ma shopping na outings za maana. Unataka kuniambia dem kama huyo ana shida na vihela vyako vya kuhonga chips yai ???
Kwanini usingetafuta wale wa kishua uliowasema hapo juu??Nilishawahi kuwa na dem wa type hyo na sikuwahi kumpa hata tsh 100 yangu mpka nikaanza kuona noma. Usibishe vitu ambavyo huvijui au hujawahi kuviona.
Mwanaume unatongozwa halafu unaishia kucheka cheka? Haukawi kusema wanang'ata kucha,kuvunja vijiti na kusugua mguu chini..Istoshe kuna madem wa type hyo wana kila kitu wao wanachotaka ni true love tu kutoka kwa mwanamme.... Unakuta dem anakutongoza we mwanaume kabsa, kibaba unaishia kucheka cheka tu.
We differ....
baby lazma nimpe zawadi zawadi mashati viatu n.k
mara moja moja namuomba tutoke nalipa bill
pesa inaongeza furaha kwenye mapenzi
tatizo watu wanadhani ukisema pesa basi uwe nazo kama bakhresa au baba wawili wa Ipp....
Aha, kwa hiyo mapenzi na pesa ni kama suruali na mkanda?