Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 31,561
- 65,382
Ukiingia kwenye tovuti angalia pale juu kabisa au chini kabisa kuna Category ya "SHORT STORIES"... bofya hapo utapata Simulizi zote na Episode zote
Nifah ninawashauri muweke "clear and direct" link za episodedes za hadithi. Sidhani kama lengo ni kusababisha usumbufu kwa wasaji wapya kama mimi.
Hata kama mmeziweka kwenye blog yetu bado ni ngumu sana kupata episodes za mwanzo. Kama lengo lenu kama bloggers wengine ni kupata wasomaji wengi kwa kadri iwezekanavyo basi mnazikosa sana.
Ni muda sasa wa kulifanyia kazi hili tafadhari