Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Ila Ray naye mwepesi sana..huo ukichwa wake bure kabisa..yani akitikiswa kidogo tu anaongea kila kitu!!
Yeah ni kweli,ila njia walizomfata The Board na SERIKALI zinatia shaka,kwa sababu THE BOARD hawajamshirikisha 100% na serikali ni kama ina act inamsaidia
 
Wapendwa wetu...
Kuandaa story yahitaji muda wa kutosha,na bwana mkubwa The bold yuko busy na majukumu ya kikazi.

Anajitahidi sana kiukweli kubalance mambo.
Lakini mkumbuke mwisho wa siku nae lazima atafute mkate wa family,vuteni subira jama...jumamosi sio mbali
Asanteni.

#TheBold's
Sorry Nifah umekua spokeswoman wa The Bold??
Thanx mkubwa naenjoy coz napenda story

Upo sahihi japokuwa utamu ukikolea watakuendelea......tunamruhusu atafuta riziki na cheupe wake asikose matunzo...aendele kung'ara kama mnavyomwona
 
Mkuu The bold heshima yako naomba uwe unitag mimi ni mpenzi mkubwa wa habari kama hizi.Mara ya Mwisho kusoma story nzuri kama hii ni ile ya Penniela iliyoletwa na mkuu LEGE .Chondechonde the bold hakikisha unanitaggggggggggggggg!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sawa! Nitakutag Mkuu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom