fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,030
really hauna?Rogie halaf uje pm, sisi ambao hatuna wenzi wa kusoma nao story sasa hivi
really hauna?Rogie halaf uje pm, sisi ambao hatuna wenzi wa kusoma nao story sasa hivi
Tanx so much mai dia, lkn bwana mbona kwenye cm yangu haileti notification hadi kwa Pc?I would like to call The Transporter and Clkey
hahahahaha acha basi bwana
"Please Ray,usiseme chochote just hold me tight (JUST HOLD ME TIGHT)
Nngejua nngeisoma jioni maana hali mbaya Ray na Cheupe wana makusudi sana mfyuuu zao
Ahsante mkuu The Bold
Hadi kamudi ka kazi kamepungua vimawazo vinawaza kwingine
Hahaha ss bahati mbaya sana Johnson yupo busy hadi ananisahaugi jamani mweeee sijui nifanyeje tuPole Clkey na hongera! Leo hauna namna itabidi jioni ujipeke mwenyewe ghetto kwa johnsonmgaya.. Hakuna namna nyingine
Ur welcome,just missed u whole weekend.Hili la notifications nalo nami nimelinote,kwa JF App inakataa, labda Mod 1 atusaidie.Tanx so much mai dia, lkn bwana mbona kwenye cm yangu haileti notification hadi kwa Pc?
So unataka kusema uko interesed na Clkey???![]()
![]()
Ushaanza mkuu acha kelele bhana, vijana hawachelewi kuni overtake.
@CIkey
Pole sanaMcd u more,sema kaweekend kangu kalikuwa hakapo vzr sana ndo maana sikuwa naonekana hapa
Ahsante wanguPole sana
Whuuwwhh asante mkuu kwa kunipigia cross matata nasubiria kufunga tu, well done The bold bibie @CIkey ebu nitafute lunch time maana nikisubiri hadi urudi usiku nitakonda ujueee!!Pole Clkey na hongera! Leo hauna namna itabidi jioni ujipeke mwenyewe ghetto kwa johnsonmgaya.. Hakuna namna nyingine
No, no Clkey usiseme hivo nakuitaga sana ila notification hazifiki ontimeHahaha ss bahati mbaya sana Johnson yupo busy hadi ananisahaugi jamani mweeee sijui nifanyeje tu
Anyway ntaenda hvyo hvyo
Au nachepukia kwa Mkoroshokigoli
Ha ha ha haa, sawa mama wa Ubuyu,let me pruvu this kupitia ClkeyApp imefanyiwa marekebisho mkuu,sasa hivi ukiwa mentioned unaletewa notification...nimefurahije sasa?![]()