The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,582
- 7,242
U
Umetisha mkuuI would like to call The Transporter and Clkey

Yaani The bold ananisafirisha kupitia my device, mara upanga,mara mbezi bichi,mara ubungo, mara Kilosaa, Moro,pangani Kilombero, full safariU
Umetisha mkuu
Na mm naomba unikumbuke kwenye taglist mkuuSawa Mkuu! Nitafanya hivyo..
Inakuja wakuu.. Episode 7, lazima idondoke usiku huu huu..
Ila hakikisha uko na mwenzi wako pembeni, usije ukajiunga Chaputa bila kupenda..
Mimi hapa Nifah ameniganda ubavuni.! Anajua balaa la leo litakalosababishwa na hii episode..
Tuvute subira kidogo! Inadondoka ndani ya lisaa limoja..
Alikua akiangalia game ya Man U na LiverNimekuja KUCHUNGULIA ,
Vipi EPISODE YA 7 badoo??
Saa yangu inasoma SAA MBILI YA USIKU DAKIKA AROBAINI NA TANO SEKUNDE SABA MILISECOND ISHIRINI NA TISA.
Nifah anajua why hii ni episode muhimu, maana nna refer pale Ray alipolaliwa kifuani na KYEUPE wakeInakuja wakuu.. Episode 7, lazima idondoke usiku huu huu..
Ila hakikisha uko na mwenzi wako pembeni, usije ukajiunga Chaputa bila kupenda..
Mimi hapa Nifah ameniganda ubavuni.! Anajua balaa la leo litakalosababishwa na hii episode..
Tuvute subira kidogo! Inadondoka ndani ya lisaa limoja..
MIDA YA KUBETmida si ndo hii mkuu
Inakuja wakuu.. Episode 7, lazima idondoke usiku huu huu..
Ila hakikisha uko na mwenzi wako pembeni, usije ukajiunga Chaputa bila kupenda..
Mimi hapa Nifah ameniganda ubavuni.! Anajua balaa la leo litakalosababishwa na hii episode..
Tuvute subira kidogo! Inadondoka ndani ya lisaa limoja..
Hahaa na mimi ni jiwe siku hizi, nichukue meha ha na tusiokua na wenzi tutafute jiwe au
ha ha na tusiokua na wenzi tutafute jiwe au
Unataka kusugua na jiwe?