Uhondo juu ya uhondo huwa siku zote burdan hupata kusoma maandishi yako keep it upInakuja wakuu.. Episode 7, lazima idondoke usiku huu huu..
Ila hakikisha uko na mwenzi wako pembeni, usije ukajiunga Chaputa bila kupenda..
Mimi hapa Nifah ameniganda ubavuni.! Anajua balaa la leo litakalosababishwa na hii episode..
Tuvute subira kidogo! Inadondoka ndani ya lisaa limoja..
The bold hii ya vipepeo ikiisha hebu tuletee ya mapenzi yenye hizo tafsida kama bolo yanki, konzi, chumvi uvinza yaani ni burrdaani.hongera mkuu kwa tafsida murua.
Cheupe anatisha kama UKAME,anaogopesha kama NJAA.daaaah! jamani cheupe....
Umeifatilia yote kweli ?? Make majukumu yalikuwa yamekutinga najua mama Bite wanguhii kitu nzuri sana shukrani The Bold
Baba Bite aisee jana nilitingwa nimemisi vitu kwa wakati wake ila The Bold weka mbali na watotoDamnnnn jambazi kuu na mimi ameanza fujo wacha nimuamshe bibi @CIkey hali ni mbaya,
Kwa style hyo mkuu usiende jela ooohhhhooo kule hakuna hayo mambo kule ukizubaa unaombwa ww (kidding)
Ila shukurani mkuu umekeep promise yako japo ni too late lakini nishakusamehe najua tatizo ni nini
goodnite The bold, Nifah
We acha tu jana kaleta ugomvi chumbani hajui tuBaba Bite aisee jana nilitingwa nimemisi vitu kwa wakati wake ila The Bold weka mbali na watoto

Yank alitaka azipige na ceicilia can au ??We acha tu jana kaleta ugomvi chumbani hajui tu![]()
![]()
![]()