johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
Hujambo wifi wa mimiApp imefanyiwa marekebisho mkuu,sasa hivi ukiwa mentioned unaletewa notification...nimefurahije sasa?![]()
Kama hunauhakika au ndo unataka Mkoroshokigoli ajitapeHaya bwana kama unaniitaga
Sawa mkuu nmekubali unaniitagaKama hunauhakika au ndo unataka Mkoroshokigoli ajitape
Sipo kwenye list ujue? wakati mimi ndo baba bite naicontrol hii mission yoteApp imefanyiwa marekebisho mkuu,sasa hivi ukiwa mentioned unaletewa notification...nimefurahije sasa?![]()
Damnnn!!! kusikia haka kasauti kako tu umeamsha maruhani yootee yaliyo lala tangu jana, jambazi kuu anafurukuta ndabi ya pant, na hii suruali ya kitambaa niliyoivaa leo itaniaibisha ngoja nichomolee hili shati"Please Ray,usiseme chochote just hold me tight (JUST HOLD ME TIGHT)
Nngejua nngeisoma jioni maana hali mbaya Ray na Cheupe wana makusudi sana mfyuuu zao
Ahsante mkuu The Bold
Hadi kamudi ka kazi kamepungua vimawazo vinawaza kwingine

Baba Bite na ww huna hata uvumilivu,basi toroka kidgo ukuje mara moja tuuuuuuuuuuuDamnnn!!! kusikia haka kasauti kako tu umeamsha maruhani yootee yaliyo lala tangu jana, jambazi kuu anafurukuta ndabi ya pant, na hii suruali ya kitambaa niliyoivaa leo itaniaibisha ngoja nichomolee hili shati![]()
![]()
![]()
![]()
On my way bibie, can't wait anymore, bado lisaa limoja tu lunch time ifikeBaba Bite na ww huna hata uvumilivu,basi toroka kidgo ukuje mara moja tuuuuuuuuuuu
Don drive us crazy, let us be like Cheupe na RayEndeleeni baadae ndo ntawaamua
Hahahah c mnataka niwaamue, hadi nione mbabe ndo ntaamuaDon drive us crazy, let us be like Cheupe na Ray
Kwahyo unatupangisha foleni siyo? acha me nisepe ukinihitaji unajua pa kunipata,Endeleeni baadae ndo ntawaamua
Ahaa hasira hazijengi tulia wwKwahyo unatupangisha foleni siyo? acha me nisepe ukinihitaji unajua pa kunipata,
Ndiyo umemka? Maana muziki wa jana si wa kitoto, hasa punch za bolo Yanki.App imefanyiwa marekebisho mkuu,sasa hivi ukiwa mentioned unaletewa notification...nimefurahije sasa?![]()
Asante sana mpenzi wangu kwa hiyo kazi nzito ya Taglist uliyonisaidia hapo juu..App imefanyiwa marekebisho mkuu,sasa hivi ukiwa mentioned unaletewa notification...nimefurahije sasa?![]()
Hahahah watu mna maneno khaaNdiyo umemka? Maana muziki wa jana si wa kitoto, hasa punch za bolo Yanki.