Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,749
Kheri In Shaa AllahShukrani sana Mkuu kwa ushauri na pongezi..
Tuombe Mungu, this year nimepanga kuachilia kitabu kimoja walau..
Sent from my V5 using JamiiForums mobile app

Mkuu hapo kwenye movie sishauri, sio kwa waigizaji hawa wa bongo muvi,Mkuu The bold asante sana kwa muda wako unaojitolea kutupa simulizi zilizojaa maarifa bila malipo yoyote.
Kuna wadau waliwahi kusema uanze kutoa vitabu, mimi nafikiri ni wakati sasa uangalie uwezekano wa kufanya movie au tamthiliya (ingawa inaweza kuwa ngumu) maana huu utunzi ni wa kiwango cha lami.
Na mimi pia ninaomba uwe unanitag katika post zako mkuu maana nilikuwa nasubiri kule intelligence kumbe vitu vina-happen huku.
Ni kweli Mkuu! Bongo tuna changamoto ya uigizaji na production..Mkuu hapo kwenye movie sishauri, sio kwa waigizaji hawa wa bongo muvi,
Ila mkuu Ze Bold hili ni ombi nakuomba utupie walau mara 2 kwa wiki ni utatuuua
Mamake sio kwa mtiririko huu aseeh, manina umepangilia matukio nikajihisi naagalia movie
Naona hawa uliowataja ndo wana board wa strategy 0034.Divine... glory to yhwh Nifah BansenBurner Alisen Papushikashi Magazine Fire miss chagga succinate coA hydrogenase SANCTUS ANACLETUS mngony Excel Mussolin5 Jimena Inferiority Complex gwijimimi wambura marwa Hoshea Shareef Conscious wambeke The Boss deejay Nasmile gkileo Juma chief Mangi flani hivi Ngongo makaveli10 KENZY kadada wa pili Root aretasludovick jonnie_vincy Clkey KAFA.cOm mbewe makedonia Afande Nyati peterchoka Leonard Robert Nchi Kavu STUNTER Chrizo jully van persie Khalidoun Tetramelyz punje haradari Mazigazi Alybaba babu na mjukuu platozoom jimmyfoxxgongo Nicodemas Tambo Mwikozi Ls man Heaven Sent sifongo Infantry Soldier haa mym 20acres MTS MarkHilary compos Tembo2 Erick the future nancy1983 Bulah binsaad Fazzaly The Wolf Firegironsa everhurt Melvine Mgibeon kijana wa leo samsun Coolant Jagood pacesetter apologize payton George Betram kisengeli Kiranga Jiwe Linaloishi Madame B jay john Guasa Amboni Dinazarde Juma chief Analyse Diva Beyonce snowhite Mmanu Expected Value onechromosome Missy rose Innocenthezron Immortal_MH Ficus sunola Robot la Matope mamaafacebook II JEKI likikima Compact scorpio me G'taxi gambada ynwa adna yuzo ntamaholo Otorong'ong'o naan ngik-kundie kandukamo1 AFRICA101 mwalidebe Kobe Blaki Womani kalendi savius The Great Emanuel r2ga Ntaluke.N. Transcend Msemachochote Mchumiajuone mwampepec MTOTO WA KUKU Fukara proto cute kawombe zinginary MLALUKO JR Vupu barafu BlackPanther @ntunzu Matola impongo ntamaholo Mkoroshokigoli
mdomo koma,
safi sana mkuu nina hakika wadau wengi humu tutatoa supportShukrani sana Mkuu kwa ushauri na pongezi..
Tuombe Mungu, this year nimepanga kuachilia kitabu kimoja walau..
Sent from my V5 using JamiiForums mobile app
Aiseeee story nzuri sana ila hapa nilipo naogopa nahisi kuchomwa hicho kisindano kwa jinsi navyoogopa
Unaogopa kupima??
Naona hawa uliowataja ndo wana board wa strategy 0034.
Poa tu na ubaguzi wako umefanya mpaka nakuja kula chakula kimeshachacha kwa ubinafsi wako![]()
![]()
![]()
alafu huyo mmiliki wa vyombo vya habari kama na namjua!!!, hata yule mbunge kijana (zuberi) pia .... oohh ... yes that's him hakuna mwingine, wakuwa mwanaboard kubwa kama hilo....
shhhhhh![]()
![]()
![]()
mdomo koma,
nilishasahau masharti yako mkuu..
The bold kwa style hii nahamasika kujua maneno gani ulimtongozea huyo bibie angalau na mm niwe natumia...
![]()
![]()
![]()
![]()
cograts..

Shukrani sana..safi sana mkuu nina hakika wadau wengi humu tutatoa support
Kwani hutaki @ nifah apate wifi yake wasaidiane kukata kata vitunguu siku za sikukuu? Unataka vizuri upate wewe tu, ndo maana nakuita mbinafsi mtu wangu ila hata ukiwa mchawi kama @ mshana jr citaacha kukushobokea mpaka nikuibie hako ka talanta unakokaringia,![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Daaaaah nimecheka sana Mkuu! Naona umeelewa stori mpaka umepitiliza hahahahah..
Aisee maneno niliyotumia mpaka mtoto mzuri amekaa tunduni ni siri nzito kama strategy 0034![]()
![]()
Alafu sijui kwanini nimesahau kuweka jina lako kwenye taglist mwanabodi mwenzetu johnsonmgaya! Nisamehe bure..![]()

Kwani hutaki @ nifah apate wifi yake wasaidiane kukata kata vitunguu siku za sikukuu? Unataka vizuri upate wewe tu, ndo maana nakuita mbinafsi mtu wangu ila hata ukiwa mchawi kama @ mshana jr citaacha kukushobokea mpaka nikuibie hako ka talanta unakokaringia,![]()
![]()
![]()
Nifah usinisahau siku ukienda kuhadithiwa as a bed time story nikumbushe nikupe ipod ya kurecod ila ikifika mida ya wakubwa ukumbuke kuzima![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Mkuu ulinisahau Siku nyingine unikumbuke mkuuDivine... glory to yhwh Nifah BansenBurner Alisen Papushikashi Magazine Fire miss chagga succinate coA hydrogenase SANCTUS ANACLETUS mngony Excel Mussolin5 Jimena Inferiority Complex gwijimimi wambura marwa Hoshea Shareef Conscious wambeke The Boss deejay Nasmile gkileo Juma chief Mangi flani hivi Ngongo makaveli10 KENZY kadada wa pili Root aretasludovick jonnie_vincy Clkey KAFA.cOm mbewe makedonia Afande Nyati peterchoka Leonard Robert Nchi Kavu STUNTER Chrizo jully van persie Khalidoun Tetramelyz punje haradari Mazigazi Alybaba babu na mjukuu platozoom jimmyfoxxgongo Nicodemas Tambo Mwikozi Ls man Heaven Sent sifongo Infantry Soldier haa mym 20acres MTS MarkHilary compos Tembo2 Erick the future nancy1983 Bulah binsaad Fazzaly The Wolf Firegironsa everhurt Melvine Mgibeon kijana wa leo samsun Coolant Jagood pacesetter apologize payton George Betram kisengeli Kiranga Jiwe Linaloishi Madame B jay john Guasa Amboni Dinazarde Juma chief Analyse Diva Beyonce snowhite Mmanu Expected Value onechromosome Missy rose Innocenthezron Immortal_MH Ficus sunola Robot la Matope mamaafacebook II JEKI likikima Compact scorpio me G'taxi gambada ynwa adna yuzo ntamaholo Otorong'ong'o naan ngik-kundie kandukamo1 AFRICA101 mwalidebe Kobe Blaki Womani kalendi savius The Great Emanuel r2ga Ntaluke.N. Transcend Msemachochote Mchumiajuone mwampepec MTOTO WA KUKU Fukara proto cute kawombe zinginary MLALUKO JR Vupu barafu BlackPanther @ntunzu Matola impongo ntamaholo Mkoroshokigoli
Naomba kule kwetu uwe unatuambia mkuu akishusha nondo ..tunamis vitu muhimuJitahid mkuu
Ninaogopaga kuchomwa sindano![]()
![]()
Unaogopa kupima??
Write a book we will buy.Itabidi nijitahidi niwe naweka episode mbili kwa wiki (moja katikati ya wiki na moja jumamosi)..
Naona wengi wametoa maoni kama haya kuwa jumamosi ni mbali..
Ngoja niwashauri wanunue scanning machines for checkup ya magonjwa yote, hutoogopa tenaNinaogopaga kuchomwa sindano