Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Haya Mkuu Omeonaeeeeeeeee tena unarudia hutaki kunitumia hata copy ya hii kitu hata mimi napendaga kusoma nikipata muda hapa tunaposotea kumwaga ZEGE daraja la TAZARA
 
Kwa ufupi story imekaa vizuri.....na ni ukarimu wa hali ya juu kwa the Bold.......kuelimisha na kuburudisha bure........wengine haya maisha ndivyo yalivyo Daily kulingana na hali kuwa ngumu tunajikuta tukiingia kwenye mambo ya kufikirisha, kujuta, hata kutoa uhai tukiamini ya kuwa maisha yanaweza kuwa mazuri.........Umasikini ni mbaya sanaaaaaaaa............Story hii inanikumbusha mapitio mengi magumu ninayopita hivi sasa.........lakini ipo siku tu.......Hata kazi ya kumwaga zege hupati mpaka uhonge......Aaaaaaahrrrrrrrrrrrrrggggggggg.............
 
Usijali Mkuu! Mwenyezi Mungu ataleta wepesi..

Maandiko yanasema; "akiisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu"

Hata Steve Jobs aliwahi kugongea msosi for two years.. Lakini mwishoni akaja kuwa moja ya binadamu muhimu zaidi kuwahi kuishi..

So don't worry the storm will pass..
 
King of sorrow
The reason as to why I love you much.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom