Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Eeeeeh bwana eeeh? What a story?
Ni kama nilikuwa naangalia movie vile.
Mtiririko wa story ulio na maelezo ya kina kwa kila hatua umenivutia sana.
Siwezi kusubiri jumamosi...damn sipendi pressure za story kama hizi basi tu sina jinsi safari hii nimepatikana.

Story nzuri,kama kawaida hukosei honey
Mmebadilishana avatar na mleta hadithi??
 
mkuu lini tena nilitegemea walau kwa jinsi uzi ulivofika nitakupa episode hata 10 kumbe iko moja tu dah
 
The bold hongera sana kwa kipaji. nilikuwa mpenzi sana wa vitabu vya kina Ben, Elvis, Hammie nk baada ya hapo watunzi mahiri wakaaanza kupote kwa mwonekano huo siku za mbele nategemea kusoma vitabu vyako.
 
mkuu lini tena nilitegemea walau kwa jinsi uzi ulivofika nitakupa episode hata 10 kumbe iko moja tu dah
Kwa wiki nitajitahidi niweke Episode mbili tu! Si zaidi za hapo..

Alafu hebu cheki jinsi episode zilivyoshiba.. Nahisi umezoea simulizi za vimistari ishirini alafu inaitwa episode..
Ningetaka kufanya hivyo hapo ningetoa hata episode 10.! But niazingatia viwango Mkuu.. Nataka tuwe na simulizi makini

Asante!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom