vipele kwenye........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vipele kwenye........

Discussion in 'JF Doctor' started by mareche, Feb 15, 2012.

 1. m

  mareche JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu mzizimkavu nisaidie najua uwezo unao na nia unayo yakusaidia jf nina siku kama mbili hiv kuna vipele vimetokea mguuni nikivikuna vinawasha nimepaka dawa bbe lkn haisaidi je mkuu nitumie dawa gani za mitishamba au za hsp na niugonjwa gani huu nawasilisha
   
 2. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mzizimkavu vipi ?! Nawe umegoma ?!
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2013
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  SAmahani Mkuu DAWA YA SIKIO ndio kwanza ninaiona hii thread ya huyu mkuu.@mareche Dawa ya Vipele chukuwa kitunguu Sumu akitwange mpaka kiwe laini kisha Uchukuwe maji ya moto uoshe sehemu zenye vipele ufanye kama anasugua kwa kutumia hicho kitunguu saumu kwa uwezo wa mungu utapona inshallah.Tumia kisha unipe feedback.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2013
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 29,803
  Likes Received: 3,702
  Trophy Points: 280
  ameleta jibu....
   
 5. Msingida

  Msingida JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2013
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 3,666
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Mkuu mzizi mkavu na vipele kisogoni vinawasha sometimes, nisaidie dawa yake please!
   
 6. Msingida

  Msingida JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2013
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 3,666
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  Mh.Mzizi mkavu,dawa hii inasaidia vipele kisogoni?vinawasha ile mbaya,na vinaongezeka siku hadi siku!
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2013
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  Mkuu Msingida tumia itakusaidia inshallah.......
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...