Vipaumbele vya mkopo elimu ya juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipaumbele vya mkopo elimu ya juu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by HGYTXK, Oct 8, 2011.

 1. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #1
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nataraji migomo mingi vyuoni kwa mfumo huu ata kama posho imeongezwa.Ebu pima hii,mtoto wa mlala hoi ameomba chuo na kapata ili kusomea ualimu akispecialize kwenye english ananyimwa mkopo kwa kigezo kuwa kozi aliyoomba si kipaumbele cha serikali,hivi hiyo sayansi mashule ufundishwa kwa lugha ya kizanaki?
   
 2. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  2lia ww. Walimu wa ngeli kibao. Aenda akajaribu mwakan. 2mechoka kuzalisha wanasiasa kila kukicha
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  we nahic unawashwa na masaburi.
   
 4. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  siku hz hata wanasayansi wanakuwa wanasiasa. Tz sayans haina msaada...lol
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  huh....................mnnh mbona kila coz sasa ni siasa tu mkuu
   
 6. N

  NIMIMI Senior Member

  #6
  Oct 8, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  WanaJf nilikuwepo tu mida wazee maana haya yananilemea. Ila ukweli kila mmoja wenu anao ni vizuri mkatujuza wanajamvi tukapata kufahamu.
   
Loading...