Vipara vitatu bungeni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipara vitatu bungeni.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaslaws, Jun 28, 2012.

 1. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,151
  Likes Received: 2,195
  Trophy Points: 280
  Nmekua mfatiliaji si mzuri sana wa bunge,lakin kutokana na kauri ya W.M ya liwalo na liwe nilkua nina hamu sana ya kujua litakalo semwa leo bungeni.katka kuangalia bunge mbele ya meza ya mh. spika wamekaa wazee watatu wenye vipara vilivyo ota kwa style ile ile swali langu ni je?kipara ni mojawapo ya qualification ya kukalia kiti kile?
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mbona swali lako halina mantiki?
   
 3. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  ?????????????????
   
 4. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ni qualification ya makatibu wa bunge kuwa na vipara kwa wanaume na manyonyo kwa wanawake
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,577
  Likes Received: 12,843
  Trophy Points: 280
  hahahahahahahah isee ngoja ntarudi :A S confused:
   
 6. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mganaga wa bibi Kiroboto amemwambia akiweka hao makarani hapo mbele yake wenye vipara basi wabunge wote watamuogopa; huo ndio ushirikina wa Kibena!!
   
Loading...