Wolle Melkas Fernando
JF-Expert Member
- May 4, 2016
- 284
- 396
Tukio la uzinduzi wa kuuzwa kwa Phantom6 mara ya kwanza, ulinakishiwa na wasanii walioonesha vipaji vyao vya uchoraji wa taswira mbalimbali ikiwemo ya msanii Alikiba akiwa ameshika simu, jambo lililowavutia watu wengi na kuwafanya watu wawe makini na kilichokuwa kinaendelea.
Hapo chini ni wasanii wachoraji walioshika banguo lenye picha iliyokamilika ya msanii Alikiba ameshika Phantom 6 huku akiwa amevaa nguo za Kimasai.
Mbali na uchoraji wa taswira mbalimbali pia wachoraji walitumia vipaji vyao kuchora watu mikononi na usoni kama picha zinavyoonekana hapo chini.
HIZO NDIO MBWEMBWE ZA VIPAJI VYA WACHORAJI ZILIVYOTIA FORA UZINDUZI WA TECNO PHANTOM6.