Vipaji vingine ni vya kuzaliwa navyo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1610293495697.png

Walimu shuleni wanapata tabu kumbe matatizo yalianzia mbali.
 
Mjomba akishafikia 18 si atakupata tabu hebu mkanye aache mara moja mkunje angali mbichi
 
😀😀😀😀😀 Kama najiona vile nilikuwa mdokozi wa nyama sana. Udokozi wa nyama mpka wazazi wakasaliti amri nikawa natengewa supu mbaya zaidi nikishamaliza bado naenda kudokoa tena, ilikuwa Kama ugonjwa.
 
Huyo mtoto sio mdokozi Kwa mwenye uelewa Kwa sababu yupo nyakati ambazo huwezi ukasema anaiba au anadokoa Ila naona ana genes alizolithi kutoka Kwa wazazi ambazo zimekaa kitafutaji.

Anaonekana akikua hasubiri kusaidiwa ili apate mkate wake Ila anafata sehemu anajua utapatikana hapa Kwa maana ya kwamba anaona mama na Baba yake humchukulia chakula wapi, sasa ana njaa aende wapi.

Anaonekana mtafutaji Kwa mazingira yoyote yale Ila kitendo cha kusogeza ndoo na kupanda kwenye meza yenye umbali huo ni ishara kua anauthubutu mkubwa bila kujali atashukaje.

Pili hata akifanikiwa haridhiki sio Kwa huo unene halafu ananjaaa .
 
kwani vibonge hua hawahisi njaa
 
Mjomba akishafikia 18 si atakupata tabu hebu mkanye aache mara moja mkunje angali mbichi
Huyo hakunjiki tabia kaizoa kwa Mama yake toka akiwa na umri sifuri Hadi miezi 6.UKIONA HIVYO UJUE MAMA ALIDOKOA AKIWA MJAMZITO
 
Kwani kwa umri huo anajua wizi ni Nini?!!🤣
Yeye anajuwa anakula tu lakini wizi unaanzia hapa. Akija kuzoea kujichukulia wakati watu wamelala au wako nje ndipo utamu unaanzia hapa. Akiona tu watu wako nje au wameenda kulala, naye anaingia ndani taratibu ili asikamatwe na kujichotea mboga. Mwisho wa siku anakuwa gwiji wa kunyatia mboga za watu mtaani ikiwa kwao wamepika mboga za majani.
 
Wakati mwingine kama uwezo upo watoto wale washibe vizuri siyo kuwamegea vitonge viwili vitatu,ona sasa huyo MTT hapo juu balaa analofanya...ndo wizi unaanzia hapa
 
Back
Top Bottom