Viongozi wetu wana akili timamu kweli?

Viongozi wetu wana akili timamu kweli?

Du! huyu mjomba na ccm wangetoka bila bila...maana wote wezi walio kubuhu..
 
http://en.wikipedia.org/wiki/charles_d._b._king

1002496_612152625492230_1314694086_n.jpg


til former liberian president, charles king, is listed in the guinness book of records for the most fraudulent election reported in history, having won the 1927 election with 234,000 votes in a country with 15,000 registered voters
duuh mkuu katisha
 
Huyu ni sawa na Rais fulani wa Afrika Mashariki nasikia ili yeye kuingia madarakani zilitupwa kura milion tano na kubakiza milion nane.
 
hahaha Bujibuji, hahaaaah huyo ni mwizi kama mwizi alieiba kura kwenye jimbo la uchaguzi la Bariadi wakati John CHEYO ANAGOMBEA Urais......jamaa wa ccm waliiba kura hadi aliyojipigia John Cheyo mmwenyewe !
 
Charles D. B. King - Wikipedia, the free encyclopedia

1002496_612152625492230_1314694086_n.jpg


TIL Former Liberian President, Charles King, is listed in the Guinness Book of Records for the most fraudulent election reported in history, having won the 1927 election with 234,000 votes in a country with 15,000 registered voters

magamba wanasahulika sana... yaani mtu anashinda kwa magumashi mpaka mshindi anjishangaa kama kashinda .
 
Duh ndo aliyewafunza CCM hii michezo ya marehemu kupiga kura.
Atakuwa ni ROLE MODAL WA CCM

[h=1]JAKAYA ASHINDA KUWA RAIS WA TANZANIA UCHAGUZI MKUU 2010[/h]
by JOHN BUKUKU on NOVEMBER 5, 2010 in SIASA with NO COMMENTS
View attachment 108501
NA MAGRETH KINABO – MAELEZO
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, ( NEC), Jaji Mstaafu, Lewis Makame leo jioni amemtangaza mshindi wa kiti cha urais wa Tanzania wa mwaka 2010 kuwa ni Ndugu Jakaya Kikwete kutoka Chama cha Mapinduzi(CCM).

Matokeo hayo ya uchaguzi huo, yalitangazwa leo majira ya saa kumi jioni na Mwenyekiti huyo katika viwanja wa Karimjee jijini Dar es Salaam.

Kabla ya kutangazwa kwa matokeo hayo, Jaji Mstaafu , Makamealisema kwa mujibu wa Ibara ya 41(6) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mwaka 1977 mgombea wa kiti cha urais atatangazwa kuwa amechaguliwa kuwa rais iwapo tu amepata kura nyingi kuliko mgombea mwingine yeyote.

Aidha Makame alisema kwa mujibu wa ibara ya 47(2) ya Katiba hiyo,mgombea wa kiti cha urais akichaguliwa basi na mgombea mwenza wake atakuwa Makamu wa Rais.

“Kwa kuwa Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete wa CCM amepata kura yingi kuliko mgombea yeyote, kwa niaba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kwa mujibu wa vifungu vya 35E, 35F (8) na 81 B vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura 343, ninatangaza rasmi matokeo ya uchaguzi wa urais wa 2010.

“Mheshimiwa Kikwete Jakaya Mrisho amechaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mheshimiwa Bilal Mohammed Gharib amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,” alisema Mwenyekiti huyo.

Aliongeza kuwa idadi ya wapigakura waliojiandikisha ni 20,137,303, waliopiga kura ni 8,626,283 sawa na asilimia 42.84 ya wapiga kura wote waliojiandikisha, zilizoharibika ni 227,889 ambazo ni sawa na asilimia 2.64 ya kura zilizopigwa.

Alizitaja idadi ya kura halali kuwa ni 8,398,394 sawa na asilimia 97.36 ya kura zote zilizopigwa, hivyo Kikwete amepata kura 5,276,827 ambazo ni sawa na asilimia 61.17 ya kura zote halali.

Wagombea waliofuatia ni wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambaye ni Slaa Willibrod Peter amepata kuwa 2,271,941 ambazi ni sawa na silimia 26.34 ya kura zote halali, Lipumba Ibrahim Haruna wa chama cha CUF, amepata kura 695,667 sawa na asilimia 8.06 ya kura zote halali, Mziray Kuga Peter wa APPT – Maendeleo amepata kura 96,933 sawa na asilimia 1.12 ya kura zote halali.
Wengine ni Rungwe Hashim Spunda wa NCCR- MAGEUZI amepata kura 26,388 sawa na asilimia 0.31 ya kura zote halali, Mgaywa Muttamwega Bhatt wa TLP amepata kura 17,482 sawa na silimia 0.20 na Dovutwa Yahmi Nassoro Dovutwa wa UPDP amepata kura 13,176 sawa na asilimia 0.15 ya kura zote halali.

Akitoa salamu kwa niaba ya wenzake badala ya Slaa ambaye ahakuwepo uwanjani hapo, Lipumba ambapo alimpongeza Kikwete na Makamu huku akisisitiza suala ya ushiriki wa watu katika kupiga kura liangaliwe na kusema Rais aliyeshinda ni Watanzania wote.

Alisisitiza suala la elimu bora , ajira, ujengaji wa miundombinu na uvumulivu wa kisiasa ni muhimu, hivyo alimshauri Rais Mteule Kikwete kujiwekea malengo katika kipindi cha miaka 5 ijayo, ambayo ni uongozi wa demokrasi, ujenzi wa uchumi ajira kuboresha miunbombinu, utawala na kupamban na rushwa.

Pia alimkabidhi Rais Mteule Kikwete Ilani ya chama chake kwa ajali ya kusaidia katika utendaji wake wa kazi.

Kwa Upande wake Rais Mteule Kikwete, alitoa shukura za ushindi alioupata na kusema watazifanyia kazi changamoto zilizibuliwa wakti wa kampeni yakiwemo mawazo ya Lipimba.

Alivishukuru vyombo vya habari kwa tendaji wao wa kazi , lakini aliviomba kufanmya kazi zaidi ya kusaidia kutibu majeraha ya nchi ili kurejesha umoja na amani badala ya kuongeza chumvi.

Naye Dovutwa alisema sasa ni wakti wa kumsaidia Rais Mteule kujenga nchi malumbano yamekisha.

Mziray amesema hajakata tama ananjiandaa kwa baade , huku Muttamwega alisema matokeo yameenda vizuri.
 
Huyu aliyeleta hii post yeye sijui kama akili zake ziko timamu kweli anawatuhumu watu bila yeye kujitazama.
 
Bujibuji ulianza anzaje mpaka ukaipata hii issue maana nimechekampaka machozi
"234,000 votes in a country with 15,000 registered voters" labda walimaanisha 15000 votes out of 234000 voters?
 
Wanasiasa wa upinzani wangekuwa na akili kama ya lipumba tungepiga hatua sana kisiasa hapa nchini.
 
Back
Top Bottom