VIONGOZI WETU ACHENI KUMWENZI "BABA WA TAIFA " KWA KAULI ZAKE TUNATAKA MATENDO YAKE

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,251
Viongozi wetu wamekuwa wanapanda kwenye majukwa Na kuhubiri Kauli za Hayati Baba wa Taifa Kwa kunukuu kauli zake.Utamsikia Kiongozi anasema Baba wa Taifa alikemea Rushwa, Kujilimbikizia Mali, Kuheshimu Katiba ya Nchi , Kuuebzi Na kuudumisha Muungano lakini viongozi hao hao ndio wahujumu uchumi wala rushwa hawaheshimu katiba ya nchi wanachochea mifarakano inayoweza kuvunja muungano.Rais mstaafu Mzee Mwinyi hivi karibuni alikiri kuwa Hayati Baba wa Taifa haenziwi Kwa vitendo.
 
Back
Top Bottom