Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 18,986
- 37,157
Dr. Ali Mohamed Shein anaingia kwenye rekodi ya dunia kama mojawapo ya viongozi waliowahi kuchaguliwa kwa asilimia kubwa ya kura baada ya kupata 91.4% ya kura zote zilizopigwa huko Zanzibar hapo jana.
Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya viongozi wengine maarufu waliowahi kuchaguliwa kwa kura nyingi:
1. Dictator Sadam Husein yeye aliwahi kupata asilimia 100%
Saddam Hussein - Wikipedia, the free encyclopedia
2. Dictator Gnassingbe Eyadema aliwahi kupata 99.9%
Togolese presidential referendum, 1972 - Wikipedia, the free encyclopedia
3. Dictator Nursultan Nazarbayev alipata 95.5%
Elections in Kazakhstan - Wikipedia, the free encyclopedia
4. Dictator Heydar Aliyev alipata 98.8%
Azerbaijani presidential election, 1993 - Wikipedia, the free encyclopedia
5. Dictator Ayaz Mutalibov alipata 98.5%
Azerbaijani presidential election, 1991 - Wikipedia, the free encyclopedia
.
.
6. Dictator Omar Bongo alipata 100%
Gabonese general election, 1973 - Wikipedia, the free encyclopedia
.
.
7. Rais Ali Mohamed Shain alipata 91.4%
[Update] Ruling party candidate wins Zanzibar re-run election by 91.4%
.
.
8. Dictator Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga alipata 99.16%
Zairean presidential election, 1984 - Wikipedia, the free encyclopedia
.
.
9. Dictator Robert Mugabe alipata 92.76%
Zimbabwean presidential election, 1996 - Wikipedia, the free encyclopedia
.
.
10. Dictator Teodoro Obiang Nguema Mbasogo alipata 95.36%
Equatorial Guinean presidential election, 2009 - Wikipedia, the free encyclopedia
Update
================
Chama Cha Mapinduzi cha nchini Tanzania kimeshinda uchaguzi wa serikali za mtaa uliofanyika Nov 24, 2019 kwa kunyakua ushindi wa 99.9%. Kwa rekodi hii CCM wametanguliwa na waliokuwa maraisi wa Iraq, Togo, Zaire na Gabon ambao kwa sasa wote ni marehemu (Sadam Husein, Gnassingbe Eyadema, Mobutu Seseko na Omari Bongo...mtawalia) ambao nao waliongoza vyama vyao kupata ushindi wa zaidi ya 99.9 walizopata CCM.
HONGERENI SANA CCM KWA KUINGIA KWENYE REKODI ZA DUNIA SAMBAMBA NA KINA MOBUTU SESESEKO
Mwenye macho ya kuona na aone.