leipzig
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 2,766
- 1,716
Mkuu katika hili jambo kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanamke na mwanaume.
Namaanisha sababu za mwanamke kutoolea/kuchelewa kuolewa ni tofauti sana na sababu za mwanaume.
Sasa unataka kumuoa? peleka mahari utamsaidia kumuondolea nuksi.