Viongozi Wakiwa Vijana

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
5,564
Reaction score
850


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete akionekana katika Sare zake za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).Picha hii inatajwa kupigwa Mwanzoni mwa Miaka ya 80 wakati huo Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Jeshini.



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Anne Simamba Makinda. Picha hii ilipigwa Mwaka 1994 wakati Mama Anne Semamba Makinda akiwa ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wanawake na Watoto.



Pichani ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Mizengo Kayanza Peter Pinda (wa Kwanza Kushoto) akiwa pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Bwana Christopher Ole Sendeka (Wa pili kushoto), Aliyekuwa Mkuu wa Mikoa Mbalimbali hapa Nchini, Bwana Ditopile Ukiwaona Mzuzuri (wa tatu kushoto) na wa mwanzo upande wa kulia ni William Vangimembe Lukuvi.Picha hii ilipigwa Miaka ya 80 wakati huo Vijana hawa wakiwa ni Viongozi wa Jumuia ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi.
 
Mtoto wa mkulima apekunja suruali? Kweli ametoka ukulimani
 
Kumbe enzi zake makinda alikua mzuri eenh....nini kilimpata ukubwani???
 
[enzi hizo walikuwa na akili]
sasa wana uongo....zi
 
Haya majamaa Zaid ya 75% ya Umri wao wanakula kodi tu, Dah Rest in Peace Brother Ditto!
 
Hapo walikua wananukia 'ujamaa na kujitegemea' leo wananuka soko huria.
 
Mbona naona kama vile kuna sehemu ya kuandaa viongozi wa nchi hii!iweje hao wote sasa ni viongozi katika nchi hii!?
 
kweli picha ni moja kati ya kumbukumbu muhimu sana katika maisha
 

Du! Anne Makinda hapo ndo alikuwa kijana?
Mkuu Ndibalema Mama Anne Makinda alikuwa mzuri enzi zake tishio kwa wenzake wewe unasemaje kwani?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ndibalema Mama Anne Makinda alikuwa mzuri enzi zake tishio kwa wenzake wewe unasemaje kwani?

Nakataa kata kata. jiulize kwanini kwa umri ule hadi leo hajaolewa?
Nakumbuka ule wimbo..'wanawake wazuri wazuri wameolewaaa....wamebaki ma........wanaangaikaaa!!'
 
Nakataa kata kata. jiulize kwanini kwa umri ule hadi leo hajaolewa?
Nakumbuka ule wimbo..'wanawake wazuri wazuri wameolewaaa....wamebaki ma........wanaangaikaaa!!'
Mkuu Ndibalema Mama Anne Makinda Hajampata wa kumpenda ndio maana hajaolewana kuolewa ni uamuzi wa mtu mbona mimi sijaowa mpaka leo? sijampata mke mwenye tabia nzuri ndio maana sijaowa mpaka sasa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ndibalema Mama Anne Makinda Hajampata wa kumpenda ndio maana hajaolewana kuolewa ni uamuzi wa mtu mbona mimi sijaowa mpaka leo? sijampata mke mwenye tabia nzuri ndio maana sijaowa mpaka sasa.

Mkuu Ndibalema Upo pamoja na mimi Mkuu?

Mkuu katika hili jambo kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanamke na mwanaume.
Namaanisha sababu za mwanamke kutoolea/kuchelewa kuolewa ni tofauti sana na sababu za mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…