Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 2,006
- 3,336
Mashabiki wa yanga wanaamini timu Yao Ina uwezo kuliko timu nyingine yoyote NBC league lakini ukweli ndo hiki kinachoendelea mitandaoni. Sijaona point ya msingi ya viongozi wa yanga kususia mechi, kwasababu mpaka hili vuguvugu linatokea yanga ni miongoni mwa taasisi iliyotajwa kuhusika na zile vurugu za ule usiku wa kuamkia derby.Yanga wanafahamu yote yatakayo kwenda kutokea na wako tayari ku katwa point 15 na kushushwa Daraja.
Waliotakiwa kugoma kabisa kucheza mechi mpaka Sasa hivi ilibidi wawe ni Simba, lakini Simba walisusa kucheza mechi ile siku kwasababu Kuna sababu za kimsingi za kikanuni zilikiukwa, na bodi ya ligi walithibitisha Hilo, Yanga wao walikuja na point gani, ya kupinga shauri la Simba?
Hawa watu hakuna wanachofanya zaidi ya kuwajaza ujinga mashabiki zao.