Viongozi wa Yanga wanamihemko

Viongozi wa Yanga wanamihemko

NYIE ni wajinga sana!!... Bodi ya ligi imeshatoa maamzi dhidi ya uchunguzi wake iliyodai kuwa kulikuwa na ishara ya uvunjifua wa amani, viashiria vya rushwa?.
Yaani kabla ya kutoa taarifa iloyosababisha kuvurugika kwq mchezo wanakuja na taarifa ya ratiba MPYA?.
Kwahiyo Bodi ya ligi wanabaliki walichofanya mabaunsa wa Yanga kwamba sio kosa?, Wanabaliki pasipo kufuata taratibu timu inawezakujitangazia kususia mechi?.
 
Kama mpaka Leo hujajua sababu ya Yanga kutaka wapewe point 3 na magoli 3 basi Rage anastahili kujengewa mnara. Maana ni u mbumbumbu ulio tukuka.
Yanga waweoe Mambo wazi, wasitafute vichaka Kwa kuongea Mambo Kwa mafumbo.
 
NYIE ni wajinga sana!!... Bodi ya ligi imeshatoa maamzi dhidi ya uchunguzi wake iliyodai kuwa kulikuwa na ishara ya uvunjifua wa amani, viashiria vya rushwa?.
Yaani kabla ya kutoa taarifa iloyosababisha kuvurugika kwq mchezo wanakuja na taarifa ya ratiba MPYA?.
Kwahiyo Bodi ya ligi wanabaliki walichofanya mabaunsa wa Yanga kwamba sio kosa?, Wanabaliki pasipo kufuata taratibu timu inawezakujitangazia kususia mechi?.
Yanga hawakupinga shutma za mabaunsa wao kuhusika na zile vurugu za usiku. Lakini wapo mstari wa mbele kupinga kucheza mechi kwasababu ya uonevu na upendeleo wa baadhi ya mamlaka za michezo😃

Hawajauelezea ni uonevu wa Aina gani na ushahidi wake, halafu mashabiki wa Yanga wanatoka kuungana na mawazo ya viongozi wao.

Yanga wenye akili ni kikwete na Sunday manara, wengine waliobaki ni vichaa tu 😀
 
Bora tushushwe daraja au tukose ubingwa ila uongozi wa tff utoke au uamue kuwa fair kwenye uongozi wao ,kinachoendelea na marefa wao ni bora timu nyingine zisicheze waipe ubingwa timu wanayoitaka wao ,
Ukiangalia kwa jicho la nyama.
Mechi hizi

1. Namungo vs simba
2. Simba vs JKT
3. Simba vs Mashujaa
Nk ni upuuzi mtupu
 
Yanga hawakupinga shutma za mabaunsa wao kuhusika na zile vurugu za usiku. Lakini wapo mstari wa mbele kupinga kucheza mechi kwasababu ya uonevu na upendeleo wa baadhi ya mamlaka za michezo😃

Hawajauelezea ni uonevu wa Aina gani na ushahidi wake, halafu mashabiki wa Yanga wanatoka kuungana na mawazo ya viongozi wao.

Yanga wenye akili ni kikwete na Sunday manara, wengine waliobaki ni vichaa tu 😀
Sawa
 
Unaisingizia Yanga, mbona kwenye sababu ya kuahirisha mechi Yanga haikutajwa? Mambo ya kulindana tu, Hawa TFF na bodi ya ligi ilipaswa wawajibike.
Sababu za kuahirishwa mechi zilitajwa. Bodi ya ligi baada ya kumaliza kikao walisema ni kweli Kwa ushahidi ambao waliupitia, walibaini ni kweli kulikuwa na hali ya uvunjifu wa amani. Hiyo ilikuwa ni baada ya kupokea ushahidi upande wa mashtaka😃

Yanga wao walikuja na pingamizi gani lenye ushahidi?
 
Nini kilipaswa kuanza Kati ya taarifa juu mkanganyikobwa kwanini trh 8 mechi imeahirishwa na wahusika wamechukuliwa hatua gani?, Unawezaje kupanga ratiba ya mchezo ambao hujatoa hukum yake?
Yanga hawakupinga shutma za mabaunsa wao kuhusika na zile vurugu za usiku. Lakini wapo mstari wa mbele kupinga kucheza mechi kwasababu ya uonevu na upendeleo wa baadhi ya mamlaka za michezo😃

Hawajauelezea ni uonevu wa Aina gani na ushahidi wake, halafu mashabiki wa Yanga wanatoka kuungana na mawazo ya viongozi wao.

Yanga wenye akili ni kikwete na Sunday manara, wengine waliobaki ni v
 
Sababu za kuahirishwa mechi zilitajwa. Bodi ya ligi baada ya kumaliza kikao walisema ni kweli Kwa ushahidi ambao waliupitia, walibaini ni kweli kulikuwa na hali ya uvunjifu wa amani. Hiyo ilikuwa ni baada ya kupokea ushahidi upande wa mashtaka😃

Yanga wao walikuja na pingamizi gani lenye ushahidi?
Polisi hawajatoa taarifa yoyote kwamba kulikuwa na viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani, TAKUKURU Temeke walikataa hawana taarifa yoyote. Sasa TFF wao kama nani.
 
Timu inayotegemea washauri kama mzungu pori,ali makundi,kitenge na mwanasheria uchwara wa uto.
Hawatoboi
 
Leo tumeona taarifa ya Yanga kusimamia msimamo wao wa kutocheza mechi ya Derby.

CAS baada ya kuwarudisha kwenye mamlaka za ndani wao walipaswa kufanya hivyo licha ya wao kujua hukumu haitawabeba. Baada ya kutoka kwenye mamlaka za ndani wangekataa rufaa ili kesi iweze kusikilizwa CAS.
Wao wamechukua maamuzi ya kugoma kabisa bila sababu za msingi na kama zipo sababu hizo haikutakiwa ziishie kwenye page na maneno tu.

Yanga inaenda kukatwa point 15 au kushushwa daraja kabisa kitu ambacho ndio kibaya zaidi n cha aibu kuliko aibu ya kucheza Derby.

Viongozi mtawaambia nini mashabiki timu ikikosa ubingwa kwa sababu ya maamuzi yenu, je mmejiandaa vvyema kukabili adhabu kutoka kwa wenye mamlaka?

Angalizo: Mashabiki wanaunga mkono msimamo ila mbeleni watawageuka tena kwa kuwapeleka kwenye giza totoro.
UKijua mpira utapenda mpira na utauelezea mpira na sheria zake na kanuni ila ukikaa kishabiki hutakaa ujue mpira utazungumzia vitu vya ajabu kama hivi leo upepo unakubeba wewe unaona viongoz wa yanga wana mihemko ila upepo ukigeuka utaaza kukumbushia gsm anadhamini timu nane
Msumeno unakata ukienda na unakata ukirudi
 
Polisi hawajatoa taarifa yoyote kwamba kulikuwa na viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani, TAKUKURU Temeke walikataa hawana taarifa yoyote. Sasa TFF wao kama nani.
Lete ushahidi
 
Back
Top Bottom