5 Nyingi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2023
- 247
- 594
Yanga ni timu ya Wananchi wa dini zote, hii si mara yakwanza kwa kiongozi wa Yanga kutumia salamu inayotumiwa zaidi na watu wa imani moja na kuacha ku balance.
View: https://youtu.be/Lr62C4kTXW8?si=oL3v9IoGM2dFGwDl
Hii ni kero iliyowahi kuripotiwa hapa jf ila mods wakafuta uzi as if wanatupangia fikra zetu.
Binafsi hili jambo linanikwaza sana, Viongozi wa Yanga nivema mkachagua salamu inayohusu club yetu, au kama utasalimia kwa salamu ya kidini basi ubalance.