Viongozi wa vijiji waliotoa taarifa za watu waliokufa kwa njaa, wakamatwa na polisi.

we unadhani kenya hatuijui,huko kwenu even chai ya maziwa unailipia kodi,what a ****
heheee...napiga maziwa daily...unafikiria hku ni kule ukitaka kusherehekea siku ya kuzaliwa uite wana singeli unalipia kodi...mjengo wako unaulipia kodi...kiwanja chako unakilipia kodi...bado pumzi tu sasa...haki ya nani..magu nyorosha hao jamaa..sai wanajutia kukuchagua ila kimoyomoyo tu...

hebu nitajie hyo sehemu please?
 
Rutto ndiye aliyetaja idadi kwamba ni watu 1.1M, acha kujifanya chizi. Tatizo kubwa ninyi Wakenya mlilonalo linalowasababishia nchi nyingi ziwachukie hapa Africa ni kujifanya mnajua kila kitu, ona sasa jinsi unavyoikosoa Red Cross ambao wao Ndio kazi yao waliyosomea, wao wapo huko field kila siku, leo Wewe hapo Kibera hujawahi kufika hata Jogoo road, unawakosoa na kuonyesha hawajui lolote Ila Wewe ndiye uliyejua kila kitu, bure kabisa Wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
hao redcross wameumbuka basi...ilikuwa dili lao nikuomba msaada nje...serikali kumbe imeshawasoma na chakula kipo na wameshapelekewa...

mpka eti wametunga paybill no.ya kupiga hela...wakenya mara hii huo mchezo wameulewa...kila ywadaisha serikali inauwezo so iwasaidia...

na km hao jamaa takwimu zao zipo sahihi...mbna hawabadilishi picha na video za zile county zengine...wanakoma na wazee waliokondeana wa turkana tu nakugusia baringo...

tunataka kuyaona hayo maeneo ya hao watu millioni moja pia...hku tuna uhuru wa kuhoji...
 
Yeah,that is why I can't agree with those local chiefs, deaths have been reported, but you can't really link them to the drought situation in the country for instance if you went around Kenya today you will find many burials happen but we can't just say because there's a burial or a funeral somewhere then it's a hunger caused death ,that wouldn't be true.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, ili mtu asemekane Amekufa kwa njaa unataka uone dalili Ipi? ndugu na jamaa wa hao waliokufa, na hao machiefs wamepata misiba mingi tu na wanajua vizuri sana sababu za vifo vya wapendwa wao kuliko ninyi mliopo Nairobi.

Hivi ukiambiwa mtu hajapata chakula kwa Wiki nzima na tayari Allikua akilalamika njaa hadi anapoteza maisha, unasema Amekufa kwa malaria?, kwenye kupambana na uhalifu mnawataka wananchi na chiefs wawasaidie kwasababu mnasema wao wanawajua vizuri wahalifu kuliko polisi, ktk vifo vya wapendwa wao mnasema hawajui wanadanganya, ninyi kweli ni failed state.

Nimeweka clip nyingi tu zinazoonyesha viongozi mbalimbali wa counties wakithibitisha vifo vilivyosababishwa na njaa katika counties zao, stop that denial.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili yako ya kinyang'au unafikiri wajerumani nao wanashobokea Kiingereza kama mlivyo huko Kenya, ha ha ha.
na watanzania pia tunajuwa hawashobokei kingereza...ila wanatamani sana kukijua...jibu swali..walitumia lugha gani...manake wote hawashobokei kingereza...

au waliongea kibubu...bwahaaaa
 
Kwa akili yako ya kinyang'au unafikiri wajerumani nao wanashobokea Kiingereza kama mlivyo huko Kenya, ha ha ha.
Jione, hata hapa JF naona kauli mbiu ni 'where we dare to talk openly' kwani hicho ni kisukuma? Alafu nasikia mjerumani aliwatawala kwa muda mrefu ila hata kuomba maji kwa kijerumani hamjui, matoast wakubwa nyie!
 
Hivi yule rais Ufaransa alivyokuja Kenya alitumia lugha gani?, Watumwa wa wazungu ninyi, "Kenya not yet Uhuru", hata Julius Malema anajua hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
macron kaongea kingereza tena safi kabisa ..kumbe kifaransa hukitumia nyumbani tu hku wakijifunza kingereza...

si we mwenyewe unaona hta shule zenu zina part one na part two
part one-kiswahili mpka cha saba
part two-kingereza...

bwahaaaa...one of the poorest education system
 
Jione, hata hapa JF naona kauli mbiu ni 'where we dare to talk openly' kwani hicho ni kisukuma? Alafu nasikia mjerumani aliwatawala kwa muda mrefu ila hata kuomba maji kwa kijerumani hamjui, matoast wakubwa nyie!
wajue kijerumani wapi...kw akli zipi...ubongo wao unawaza uswazi tu na historia wala si mambo yanayoendelea duniani...sasa mkulu hajui kingereza ndio manake anakwepa mikutano na kwenda nje...lugha ni balaaa...
ze..ze..ze
 
Hivi yule rais Ufaransa alivyokuja Kenya alitumia lugha gani?, Watumwa wa wazungu ninyi, "Kenya not yet Uhuru", hata Julius Malema anajua hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Usimfananishe rais Macron na Jiwe. Macron anaongea kifaransa, kiingereza na lugha zingine kadhaa za kimataifa kwa ufasaha. Sio kama huyu mzee wenu ambaye alisomea Phd yake kwa kiingereza ila jina bye bye alilitafsiri kama nunua nunua. :D
 
Macron hutuba zake zote hutumia kifaransa hata akihutubia UN, kana hapo kwenu ametumia English, labda kwasababu alijua Kenya Bado ni koloni la waingereza Kwahiyo hakutaka kuwakwaza.

Tanzania primary school tunatumia Kiswahili, primary school ndiyo msingi wa kila kitu, wale watakaokwenda secondary(wakati huo walikua chini ya 10%) ndio walitumia English, sasa hivi tunabadilisha hata sekondari Watatumia Kiswahili, Sisi ni taifa huru sio kama Kenya

Angel Nickel, Xi jin Pin na waziri Mkuu wa Japan hutumia lugha ya gani vile?, "Kenya not yet Uhuru", hata Julius Malema analijua hilo

Kwahivyo ufaransa sio taifa huru kwasababu rais Macron anajua kiingereza? Kiingereza nacho kinawakanganya kwasababu masomo yenu huwa yanaishia darasa la saba? Shukran kwa kunifafanulia, nilikuwa najiuliza maswali mengi sana.
 
Kwenu ninyi kwenda shule maana yake ni kujua kiingereza lakini hamuwezi kutumia Elimu kupambana na njaa, Onyesha ni lini Macron ametumia kiingereza akiwa Ufaransa, UN au EU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angel Nickel, Xi jin Pin na waziri Mkuu wa Japan hutumia lugha ya gani vile?, "Kenya not yet Uhuru", hata Julius Malema analijua hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
Julius Malema mwenyewe huwa anatumia kiingereza. Alafu unawakosea sana heshima hao Nickel na Shinzo Abe unapowafananisha na Jiwe mzee wa kijijini. Boss, hata Kiswahili pia kinakukanganya? Siutumie kisukuma basi.
 
Kwenu ninyi kwenda shule maana yake ni kujua kiingereza lakini hamuwezi kutumia Elimu kupambana na njaa, Onyesha ni lini Macron ametumia kiingereza akiwa Ufaransa, UN au EU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiingereza sio ishu kubwa Kenya, kiingereza kinatumiwa kufunza kutoka shule ya chekechea, sasa unategemea mtu ambaye amesoma Kenya asielewe kiingereza? Huko ufaransa wanajifunza lugha nyingine pia, kiingereza, kijerumani, n.k. kama watoto wa viongozi wenu wote wanavofanya.
 
Ninyi Kiswahili Ndio lugha yenu ya Taifa, lakini hata rais wenu akienda China ambako hata hawajui English, Bado anazungumza kiingereza, ninyi ni Bado Watumwa, Julius Malema Kiingereza ni lugha ya Taifa ya nchi yake, ni sawa akitumia English

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom