Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 11,988
Mnapoelekea kuchaguliwa na Wananchi ili kumsaidia Rais wetu Magufuli kazi katika kuwatumikia Wananchi
mwezi huu, muweke kipaumbele cha kupanda miti na kutunza mazingira
Tunataka Tanzania ya kijani
Miaka ya hivi karibuni mazingira yamebadilika mno joto limezidi sana Tanzania,mvua zimepungua hii ni kutokana wa ufyekaji hovyo wa misitu bila mpangilio
Waziri Jafo na Waziri wa mazingira wapeni semina Viongozi watakaochaguliwa umuhimu wa kupanda miti ili tuirudishe Tanzania ile ya Zamani, mvua zilikuwa zikinyesha mara kwa mara
Mfano kila mtaa Au kijini kikitenga hekari kumi au mia moja za km hifadhi ya miti
Pia kwa ngazi ya familia,kila familia iwe na mpango wa kuotesha miti walau 20 kila mwaka
Itungwe sheria ya kusimamia hili jambo
Vijana Wengi wanakimbilia mjini na kuacha mashamba huko vijijini kutokana na mazingira ya kuishi kutokuwa Rafiki katika shughuli za kilimo hii ni kutokana na kutokuwapo kwa mvua za uhakika kila mwaka
Viongozi wenye dhamana hili ni jambo kubwa sana mkilisimamia vizuri tunaomba mlitekeleze ila Nchi yetu nzuri ya Tanzania isigeuke kuwa jangwa
Niwatakie Jumapili yenye Utulivu wazalendo wenzangu