Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,009
- 103,394
Amin Mkuu umeonyesha akili yako hapa ile ya kubebewa na dada halima mdee umeiweka pembeni
Mazingira ni uhai Mkuu
Tukipanda miti hata ile kiwango cha furaha kitaongezeka
Hili waziri jafo na Waziri wa mazingira wanatakiwa watoe kipaumbele
Mpango mkakati uwekwe kwa ajili kuboresha mfuko wa mazingira kama vile mfuko wa mawasiliano kwa wote ulivyosaidia Wananchi wa vijijini
Tuyatunze mazingira tusiwe wabinafsi ili turithishe kizazi kijacho
Naona umeamua kunifanyia kejeli baada ya kukuomba msamaha hivyo unadhani nimekuwa mjinga. Umesema nikuheshimu niache mambo personal, nimetii na kujishusha ili twende sawa maana ni hoja ya kitaifa, lakini naona umerudi kunishambulia mimi binafsi. Ngoja nikuonyeshe heshima kwa kuwa hii ni hoja ya wote na ina umuhimu. Najua pa kukupata, jiandae maana huna heshima.