Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Aliwekwa makusudi kutisha watu, lakini na yeye anaweza akaishia kutoiona familia yake huko ICC! Ikitokea watu wakachinjana hapo Mbeya, hawezi kuchomoa"Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au ukarudi mlemavu"
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela.
Hali ya maisha awamu hii imekuwa ngumu kuliko awamu zote.vijana wamesoma hawana ajira,wanaona heri kufa akitafuta haki maana hana cha kupoteza,nyumbani hapakaliki.Naam ujumbe muruwa kabisa huo hasa kwa mtu muelewa
Inaweza hata isiwe ICC, maana mlenga hulengwa.Aliwekwa makusudi kutisha watu, lkn na yeye anaweza akaishia kutoiona familia yake huko ICC!
Hakuna kutishana hapa! Mkuu wa mkoa anatoa maelekezo wala hatoi vitisho. Kuna kazi za aina mbili hapa lazima tuzielewe. Moja ,kazi ya kupiga kura.. Mbili, kazi ya kulinda kura. Raia kazi yetu ni kupiga kura wale wa vyombo vya dola ni kulinda kuraAisee...tumeanza kutishana sasa...consequences za haya matamshi zitaonekana mambo yakiharibika baada ya uchaguzi
Aliye jitolea kajitolea hata umtengenezee hofu vipi hata rudi nyuma, ila viongozi walipaswa kunena busara sii mbavu sana."Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au ukarudi mlemavu"
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela.
Akiisoma hii comment yako lazima aijutie kauli yakeAliwekwa makusudi kutisha watu, lakini na yeye anaweza akaishia kutoiona familia yake huko ICC!
Huo ndiyo ukweli sasa hapo kuna ubaya gani? Kweli ukijifanya kwenda kulinda kura utakutana na walinda kura halisi. Hivyo anawashauri waage kabisa majumbani kwao kwa kuwa hawatarudi majumbani mwao au wakarudi walemavu."Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au ukarudi mlemavu"
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brg. Mwangela.
Kwa hiyo wote tuna kazi moja? Unaona ulivyojiaibisha? Maana kitokacho roho ndicho kilichoijaza roho! Unajidai kupotezea lakini unajua kabisa raia ana wajibu wa kulinda kura yake!Raia kazi yetu ni kulinda kura wale wa vyombo vya dola ni kulinda kura
Nakushauri kama unaweza jitokeze hiyo tarehe ya kupigakura ukalinde kura mkuu ili tujue kama kweli na yeye ataenda ICC. Kwa nini tuishi kwa hisia badala ya hali halisi?Aliwekwa makusudi kutisha watu, lakini na yeye anaweza akaishia kutoiona familia yake huko ICC!