Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,594
- 51,456
Uzi una shida gani? Mi Mkristo, hoja ya mleta mada ni fikirishi kulingana na trend
Kwa nchi iliyojaa watu wavivu na wanaopenda short-cut bila kufanya kazi kweli Mwinyi na Kikwete ni lulu! Kwa nchi iliyojaa watu wanaotaka maofisini watu wageuze vijiwe vya soga na nchi ijae wala rushwa, wapiga dili na wazembe basi Mwinyi na Kikwete kwao ni almasi. Unachoota hakitatokea tena! Ulizoea kuishi kwa kulamba vidonda kama nzi, hayo maisha yamebaki historia!
Na aliyeyuingiza mkenge ndiyo hao anaowapigia debe.Msihukumu viongozi wa kikristo kisa tu awamu hii tumeingizwa mkenge!
Tunaongelea interms of uongozi. Sio individuals.World wide waprotestant (ushoga mwingi), waoslamu (ugaidi mwingi) wakatoliki (wakatili).
Kitizii wakatoliki (wakatili na washirikina wengi), waislamu (washirikina wengi), wasabato (wazinzi wengi) walutheri watulivu wengi!!
Kwa analysis yangu...
Umeaminishwa ivyo ila hujui tu watu wanavyojilimbikizia pesa. Siku akitoka ndyo mtajua tulivyopigwa baada ya kuanza kulipa madeni yatakayoachwa chungu nzima.World wide waprotestant (ushoga mwingi), waoslamu (ugaidi mwingi) wakatoliki (wakatili).
Kitizii wakatoliki (wakatili na washirikina wengi), waislamu (washirikina wengi), wasabato (wazinzi wengi) walutheri watulivu wengi!!
Kwa analysis yangu...
70%
Kama unaishi subiria siku muislamu akiingia utakiri
Mmeuingia mtegoWorld wide waprotestant (ushoga mwingi), waoslamu (ugaidi mwingi) wakatoliki (wakatili).
Kitizii wakatoliki (wakatili na washirikina wengi), waislamu (washirikina wengi), wasabato (wazinzi wengi) walutheri watulivu wengi!!
Kwa analysis yangu...
Busara, iko ndani ya hekimaNi kweli huwezi kuwa na busara kama huna hekima na huwezi kuwa na hekima kama huns busara.
Sent using Jamii Forums mobile app