Viongozi wa dini watoa tamko la amani

Viongozi wa dini watoa tamko la amani

Kwani balozi za nchi nyingine zina faida gani kwangu na kwako?
Hivi kama Saudi Arabia ingefungua ubalozi wake nchini kwa ajili ya kushughulikia Uislamu na Waislamu tu nchini, wewe ungekubali?
 
Mahakama ya kadhi
MoU
NECTA

Hayo ndiyo madai yetu makuu Tanganyika usitake kututoa nje ya mstari.

Mahakama ya Kadhi haina shida lakini muihudumie wenyewe sio kubebesha mzigo wengine

MoU haia shida serikali rudisheni hizo hospitali kama Bugando kwa waliozijenga uone kama watashindwa kuziendesha mbona kila mtu anakwenda kutibiwa pale lazima serikali ifidie

Necta , shida sio necta ni shule zenu mbovu ambazo hata wenzenu wenye akili nzuri hawapeleki watoto wao hapo. usilalame na Necta nyie mnataka watoto wafaulu na alama 10 hiyo ni elimu gani,hakuna anayewaonea shule zenu nyingi ni mbovu kubali hilo
 
Sawa!
Ubalozi wa Vatican una faida gani kwangu mimi Muislamu?

Ubalozi wa Vatican hauna faida kwa wewe Muislamu na hata kwa Mkristo pia. Vatican ni nchi kama nchi nyingine hichoo ndo waislamu wengi hwkijui. na isitoshe wakristo wote sio wakatoliki maana wakatoliki ni wachache kulinganisha na madhehebu mengine kwa uujumla. na wengine wala hawaongozwii na papa. Vatikani ni kwa katoliki. Pia hakuna faida yeyote wapatayo kutoka Vatikani hila ni kwa faida ya muungano wa kiimani lakini mambo yote yawe ya maendeleo yanafanywa na wenyewe wazawa hapa kwa kuchangishana , watajenga makanisa na mashule kwa michango.
Kwa nini wakristo wanafanikiwa ni sababu moja tu ! ni Amani ya dini yao pamoja na elimu nzuri na kujituma
Ndugu zangu waislamu tusiendekeze kulalama , iga mazuri kwa wakristo ,tutafaikiwa tusijazwe propaganda za ujinga. Vitu vyetu tunavyoanzisha angalia tunavyoparanganya, hata mahubiri yetu kwa nini tusingalie mafundisho ya dini yetu tunachokonoa za wengine , tunapandikizza chuki alafu tunalalama. nani asiyejua kuwa mihadhara yetu mingi ni kukashifu ukristo hii inatusaidia nini, tujirekebishe, wenzetu wametuvumilia sana
 
Ubalozi wa Vatican hauna faida kwa wewe Muislamu na hata kwa Mkristo pia. Vatican ni nchi kama nchi nyingine hichoo ndo waislamu wengi hwkijui. na isitoshe wakristo wote sio wakatoliki maana wakatoliki ni wachache kulinganisha na madhehebu mengine kwa uujumla. na wengine wala hawaongozwii na papa. Vatikani ni kwa katoliki. Pia hakuna faida yeyote wapatayo kutoka Vatikani hila ni kwa faida ya muungano wa kiimani lakini mambo yote yawe ya maendeleo yanafanywa na wenyewe wazawa hapa kwa kuchangishana , watajenga makanisa na mashule kwa michango.
Kama Saudi Arabia wangefungua ubalozi nchini kwa ajili ya Uislamu na Waislamu,wewe ungekubali?
 
Daah, hiyo dua yao imeniacha hoi! Wanaiombea dini yao inusurike badala ya kuombea Taifa linusurike! Hivi Taifa likiangamia hiyo dini yenu mtafanyia wapi?

Mhhnn...vipaumbele vinatofautiana. Kwa wenzetu 'dini ya Mwaanyezi mungu' kwanza'taifa' baadae. Tuvumiliane tu, mwisho u karibu (kama si Yesu kurudi basi ni mauti haijalishi ni kwa sababu zipi).
 
Mhhnn...vipaumbele vinatofautiana. Kwa wenzetu 'dini ya Mwaanyezi mungu' kwanza'taifa' baadae. Tuvumiliane tu, mwisho u karibu (kama si Yesu kurudi basi ni mauti haijalishi ni kwa sababu zipi).
Ni kweli Mkuu! Halafu hawajiulizi! Mbona nikienda hija maka nikipitiliza siku moja tu nawekwa mahabusu bila kujali uislamu wako. Na utaambiwa uislamu wako kafanyie kwenu hapa ni kwetu!
 
Taifa likiangamia kwao no prob. Dini yao wataenda ifanyia motoni, no doubt about that! Si inajulikana hii ni dini ya "Aya za kishetani"? Mbona Rusheed alishatwambia miaka mingi?
Mkuu, hadi nimecheka, hasa hago> dee yao wataenda ifanyia motoni!
 
Ni kweli Mkuu! Halafu hawajiulizi! Mbona nikienda hija maka nikipitiliza siku moja tu nawekwa mahabusu bila kujali uislamu wako. Na utaambiwa uislamu wako kafanyie kwenu hapa ni kwetu!

mda wa pasport yako ukiisha hata kama sio SAUDIA unatakiwa usiwepo
 
Mkuu, hadi nimecheka, hasa hago> dee yao wataenda ifanyia motoni!

Mkuu signature yako naipenda sana, hasa kwa lugha yake asilia ya mwanazuoni wa vizazi vyote, I mean St. Paul! "MIHI VIVERE CHRISTUS EST, ET MORI LUCRUM!" I love this!
 
hizo kashfa

Kashfa au ukweli? Truth always bites! UISLAM NI JANGA LA DUNIA HII! NA TUTAUNANIHII TUUU!

I hate Islam.jpg
 
Kama Saudi Arabia wangefungua ubalozi nchini kwa ajili ya Uislamu na Waislamu,wewe ungekubali?

Niambie ni muislamu gani na wa wapi alienda kuomba huduma ya KIBALOZI ubalozi wa Vatican akanyimwa kwa sababu ya uislamu wake? Hiyo dhana kwamba ni wakristo tu wanaopewa huduma za kibalozi ubalozi wa Vatican umeufanyia utafiti au umetosheka tu na propaganda za fedhuri Ilunga?

UKIMTEGEMEA ILUNGA AFIKIRI KWA NIABA YAKO NI SAWA NA KUKOJOLEA AKILI YAKO MWENYEWE!
 
hizo kashfa
Mkuu hakuna sababu ya kutoka povu na tuirejee Qurani inavyo kufunulia!"Hakuna yeyote ktk nyie ni mwenye kuifikia "JEHENNAM" Ni wajibu wa allah aliokwisha hukumia!" suratul mariam verse71 kuna kashfa hapo nikimuuliza nikimfahamisha hilo muislamu!
 
mda wa pasport yako ukiisha hata kama sio SAUDIA unatakiwa usiwepo
ahaa, mbona tupo pamoja Mkuu? Hata wende Roma ima Israel muda wako wa pass ukiisha utaswekwa ndani tu! Hivyo tufahamu kwamba; Upenzi na mhemko kwa Taifa lako ni kitu cha kwanza! Na baadaye ndio Deen inafuata! Hivyo basi wewe na mimi tuwaelimishe hao wanaoendekeza deen badala ya Uzalendo kwa Taifa lao! Ambalo baada ya safari yao humu duniani ardhi yake itawastiri! Sawa mukulu?
 
Mkuu signature yako naipenda sana, hasa kwa lugha yake asilia ya mwanazuoni wa vizazi vyote, I mean St. Paul! "MIHI VIVERE CHRISTUS EST, ET MORI LUCRUM!" I love this!
Mkuu, umenigusa sana! Manake huwa namtaja Paulo Mtume wa Bwana Yesu kuwa ni Prof Paul kiboko cha wapinga Krito! Nimefikia kukiri kwamba; "HAKUNA MUNGU APASWAYE KUABUDIWA KWA HAKI ILAHA YESU NA PAULO NI MTUME WAKE!" ndiposa Prof Paulo aliona bila chenga fundisho la Yesu alipowaambia wanao Mfuasa kwamba ni Neema Duniani na Utukufu Mbinguni! Prof Paulo akakazia na kusema KUISHI NI KRISTO KUFA NI FAIDA! Ndipo alipo tangaza kwamba; "Baada ya kumpata Kristo yale mambo yote ya mwanzo aliyoyaona ya maana(kimwili mwili eg kutawadha kuswali kama sarakasi...) aliyaona kama mavi! Mchana mwema Mkuu!
 
Niambie ni muislamu gani na wa wapi alienda kuomba huduma ya KIBALOZI ubalozi wa Vatican akanyimwa kwa sababu ya uislamu wake? Hiyo dhana kwamba ni wakristo tu wanaopewa huduma za kibalozi ubalozi wa Vatican umeufanyia utafiti...!
Ubalozi wa Vatican utatoaje huduma kwa Muislamu wakati ubalozi wenyewe upo kwa ajili ya kuwahudumia Wakristo hususan Wakatoliki?
 
Ubalozi wa Vatican utatoaje huduma kwa Muislamu wakati ubalozi wenyewe upo kwa ajili ya kuwahudumia Wakristo hususan Wakatoliki?
Mkulu mbona hivyo! Balozi za Vatikani zinamhudumi mwanadamu Kiroho na Kimwili ndio sababu zipo; Iran! Iraq! Jordan! Pakistan! Oman! Libya! Egypt! Tunisia! Uturuki! Saudia! Kuwait! Qatar.... World wide! Na nimekubandikia nchi zilizo kubuhu kwa uislamu lakini wameruhusu balozi wa Vatican! Sideeq inawezekana kelele zako ni kutoka kuzimu!
 
Ubalozi wa Vatican ambao unatoa huduma za kiroho kwa Wakristo tu umeruhiwa nchini wakati OIC ambayo itawafaidisha Watanzania wote inakataliwa, huoni kuwa Tanzania ni kwa Wakatoliki tu?
 
Ubalozi wa Vatican ambao unatoa huduma za kiroho kwa Wakristo tu umeruhiwa nchini wakati OIC ambayo itawafaidisha Watanzania wote inakataliwa, huoni kuwa Tanzania ni kwa Wakatoliki tu?

usikwepe swali la msingi ambalo umeulizwa,kama ubalozi wa Vatican hutaki uwepo Tanzania,kwanini hujalalamika balozi za Vatican ktk nchi za Kiislamu,mfano umeambiwa hapo juu,Saudi Arabia,Iran,nk. acha uwongo,hapa hakuna watu wajinga kama maamuma unaowadanganya ktk baadhi ya misikiti!
 
Back
Top Bottom