Viongozi wa dini watoa tamko la amani

Viongozi wa dini watoa tamko la amani

Nawachukieni wote mnaojadili masuala ya dini ndani ya jf kwani huwa hayana muafaka. Naomba mlipokee tamko la ndugu zetu waislamu kama tutakavyopokea tamko la ndugu zetu wakristo. Tuache malumbano yasiyo na tija kwani hayatufikishi popote ndugu zangu.
Huna haja ya kutupenda!

Lakini unafikiri tusipoyajadili hapa tutayajadili wapi?
 
usitutoe kwenye ajenda yetu ya msingi.
kwenye red, kwani wewe ni nani mpaka hata uanze kutuchuja kwa uafadhali, peleka utaahira wako huko.
again usitutoe kwenye ajenda yetu ya msingi.

Soma Title ya hii hoja jamvi (Viongozi wa dini watoa tamko la amani) kisha soma hilo tamko lenyewe utaona ni vitu viwili tofauti. hao siyo marafiki wa amani hata siku moja na ole wao wakristu waseme sasa basi nakwambia wataishia kuvaa mabomu na kujilipia tu.
jamii ya aina hii hata ipewe kila kitu haishi kulalamika baadaye mtasema wakristu wanawamalizia hewa na kama mafundisho ya dini ya nyie wenzetu yako hivyo basi mnatutisha.

Maadui wa Taifa ni UMASKINI, UJINGA and MARADHI, Adui wa Ukristo ni Shetani lakini leo hii inaonyesha Adui Uislam ni Ukristo
 
nadhani wakati umefika kwa jamii ya kiislamu kuungana na kupata chombo huru kitakachowaunganisha kwa pamoja. Tumeona matamko mengi kutoka kwa mashehe sasa hatuelewi lipi tamko sahihi la waislamu kila taasisi inakurupuka na tamko lake ingawa ni kweli hayo matatizo yapo. Naunga mkono tamko
 
Daah, hiyo dua yao imeniacha hoi! Wanaiombea dini yao inusurike badala ya kuombea Taifa linusurike! Hivi Taifa likiangamia hiyo dini yenu mtafanyia wapi?
 
Daah, hiyo dua yao imeniacha hoi! Wanaiombea dini yao inusurike badala ya kuombea Taifa linusurike! Hivi Taifa likiangamia hiyo dini yenu mtafanyia wapi?

wewe fikiria kama mastermind wa hio/hizo taasis ni Sheikh Ponda. Hao wasadizi na wafuasi wake watakuwaje? Tuwasamehe
 
nimesoma neno baada ya neno nikiamini tamko linakuja kutoa suluhisho jema. sitaki kuamini tamko hili linawakilisha waislam wote, hiki ni kijikundi tu kinachochochea mvurugano.wala siwahukumu waislam wote kwasababu ya kijikundi cha watu wasio na hekima na busara kama hawa (mnisamehe).yaani hawa ndiyo wachochezi wakubwa, tena hawa ndiyo wanapokuwa chobingo na waumini wao wanawajaza na kuwapamorale ya kwenda kufanya mambo mabaya dhidi ya wakristo.mimi naona ni wanafiki tu.

hivi immetokea kuwa ni coincedence mauaji yanayotokea ni kwa viongozi wa kikristo tu, kuchomwa ni makanisa tu? hivi wakristo wasingekuwa wavumilivu ingekuaje leo? badala ya kutoa tamko lenye kuleta jibu la matatizo mnakuja na matamko ya kuchochea uvunjifu wa amani. mnakaa kulaumu tuu kulaumu kila kitu, watoto wenu pelekeni shule, wapeni elimu ya kiukweli, watoto wa wenzenu wakiwa wanakazaniwa kusoma sana nyinyi mwawapeleka madrasa kila wakati, tafuteni jawabu la matatizo yenu kwa kujaribu kulinganisha watoto hawa wa dini mbili wanavyokuwa handled. mmeendekeza tabia ya kuwaoza mabinti zenu wakiwa wadogo na kuzalishwa wakiwa makinda halafu mnategemea mlingane na wakristo. elimu si kitu cha msingi kwenu ukitoa wale waislam wachache walioelimika. watoto wenu wanafeli msiilaumu necta ya watu.huku ni kumuintimidate yule mama wa watu wa Necta.

hakuna anayewazuia msiwe na mahakama ya kadhi kuweni nayo, amueni kesi zenu mtakavyo kuweni na sheria zenu kadri muwezavyo, lakini kutaka kuihusisha serikali isiyo na dini kupitisha mahakama ya kidini ni kitu kisichokubalika. eti mnataka na rais wa jamhuri aitambue mahakama, kila dini ikiamua ije na mahakama zake na kuitaka serikali izitambue itakuwaje?

serikali inadeal na mahakama zake tu za nchi ambazo ni tribunals,PC,DC,HC na CA, hiyo ya kwenu mnaweza mkaianzisha na wazee watoa matamko kama hawa wataitambua na kuipitisha.

Naboreka na hawa watu walalamishi wanaoshinda kila siku kutafuta kijisababu cha kusimamia badala ya kuangalia ni kwa namna gani mnaweza kutatua matatizo yenu. kama mnaona wakristo wanawazidi sana jifunzeni kutoka kwao, wamefanyeje kufika hapo na siyo kutafuta mbaya nani while mbaya ni wewe mwenyewe.

mnisamehe hapo simaanishi waislam wote, wapo kundi ambalo lina akili ambao wao huhakikisha watoto wao wanasoma tena wengine wanaona hata ni bora wapeleke watoto wao kwenye shule za kikristo ambako wanaamini watoto wanaelimishwa vizuri elimu dunia.nina mifano mingi katika hili, na ukiangalia kundi hili la waislam ni kundi lililo juu katika kila eneo na huwezi kuwaona wakilalamika lalamika. coz wamefanya lililosahihi ingawa bado ni waislam wazuri.
 
hivi immetokea kuwa ni coincedence mauaji yanayotokea ni kwa viongozi wa kikristo tu, kuchomwa ni makanisa tu?
Sidhani kama umelisoma tamko na kulielewa!
Tamko linajieleza lenyewe kuwa si viongozi wa Wakristo pekee wanaouliwa bali hata viongozi wa Waislamu pia wanauliwa lakini hilo halionekani!

Misikiti nayo pia inashambuliwa tamko linatoa mfano wa Mwembechai
joda said:
wakristo wasingekuwa wavumilivu ingekuaje leo?
Kila mtu anajua kuwa Waislamu ndio wavumilivu tokea zama za nyerere, leo hi wakati wanahoji tu kuhusu haki zao kibao kinageuzwa kuwa ni Wakristo ndio ambao ni wavumilivu na Waislamu ni wakorofi.
 
Huna haja ya kutupenda!

Lakini unafikiri tusipoyajadili hapa tutayajadili wapi?

Tukijadili kwa hoja bila matusi wala kudhalilishana na kutoa way forward nahakika tutafikia uamuzi mzuri wenye busara.
 
Tukijadili kwa hoja bila matusi wala kudhalilishana na kutoa way forward nahakika tutafikia uamuzi mzuri wenye busara.
Sawa!
Ubalozi wa Vatican una faida gani kwangu mimi Muislamu?
 
Daah, hiyo dua yao imeniacha hoi! Wanaiombea dini yao inusurike badala ya kuombea Taifa linusurike! Hivi Taifa likiangamia hiyo dini yenu mtafanyia wapi?

Taifa likiangamia kwao no prob. Dini yao wataenda ifanyia motoni, no doubt about that! Si inajulikana hii ni dini ya "Aya za kishetani"? Mbona Rusheed alishatwambia miaka mingi?
 
Sawa!
Ubalozi wa Vatican una faida gani kwangu mimi Muislamu?

Mnapata hasara gani kwa uwepo wa huo ubalozi? balozi wa Vaticani anakula msikitini? Anakaa msikitini? Mnashindwaje kwenda msanalani kwa sababu ya uwepo wa huo ubalozi??
 
Ubalozi wa vatican hauna kwako kama ambavyo ubalozi wa Saudi Arabia usivyo na faida kwako directly. vatican ni nchi kiongozi wake mkuu ni papa, that's why Vatican ina mabalozi kila nchi. Vatican siyo dini, ni nchi. Je, tuondoe ubalozi wetu Kenya kwa sababu wakikuyu hawana faida na ubalozi wetu nchini mwao?
 
salmar ubalozi wa Vatican ni ubalozi kama balozi nyingine za nchi zenye serikali zinazoongozwa kwa sheria ya kiislamu kama Iran, Iraq nk.Hawana uhusiano wowote na serikali zaidi ya kuiwakilisha nchi yao kwenye ardhi ya Tanzania.

Ubalozi wa Vatican unawahusu zaidi wakatoliki hasa pale kunapotokea kutokuelewana kati ya wakatoliki.Vatican haiko sawa na OIC ni nchi jamani,na Rais wake anajulikana kama Pope.Tusiweke hili kuwa sababu ya kuvunja amani.

Kama ni MoU hata waislamu wanahaki ya kuomba hasa kwenye masuala ya jamii kama vile hospitali ,hebu jaribuni kuona kama serikali itawanyima haki hiyo ikiwa hospitali mmejanga na haibagui.MoU ipo hata Aghakhan hospital ,Hindul Mandal ambazo zina milikiwa na dini.Watanzania wenzangu tusifungwe kwenye mambo ambayo kama jamii inaweza kuyatatua bila tatizo.Kama viongozi wa kiislamu haawaelewi namna ya kupata hizo MoU ni vyema kuwauliza viongozi wenzao wakikristu ni namna gani waliweza kufaidika na hasa kupewa relief kwenye kodi au kupata wataalamu wanaolipiwa na serikali kwenye maeneo ya hospitali zao.

Suala la elimu ni shule husika kuangalia ni kwanini vijana wao wanafeli,watafute njia mbadala ya kuwabana wanafunzi wao kuliko kuilalamikia NECTA.Kuna vijana wakiislamu wanaosoma shule za private zisizo za kiislamu wanafaulu vizuri sana ,waangalie nini kimekosekana.Hata kwenye hizo shule za wakristu bado wanaajiri hata waalimu wenye dini tofauti mathalani waislamu walimu wameajiriwa hata kwenye vyuo vikuu vya wakristu.Tutafute suluhu ya watoto hawa kwanini wanafeli tusitafute majibu rahisi kwa maswali magumu hatutafika.

kwa wenzetu hawa ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa wanataka kila mtanzania aanze kufikiri kiudiniudini tu na sijui wanafanya hivi kwa faida ya nani.
 
Vipi kuhusu kejeli kwenye lile tamko la Maaskofu kuwa Kanisa lilifunga mkataba wa MoU na serikali ya Ujerumani na serilali ya Tanzania ilihusishwa kama observer tu?

Ndani ya MOU ninavyoelewa serikali ilitakiwa isitaifishe mali za kanisa kama ilivyokuwa imefanya hapo mwanzo, na hatimaye ikashindwa kuendesha hizo hospitali. Ujerumani ikakubali kuendelea kusupport hospitali kama serikali ya Tanzania haitataifisha tena. Badala ya kujitoa moja kwa moja katika suala la tiba kwa raia wake, ambao hawana Hospitali mfano Waislamu. Serikali ikakubaliana na makanisa yatoe huduma, na serikali itoe wafanya kazi na mishahara na madawa ili raia wote watibiwe sawa. Kumbuka wanaotibiwa ni raia, wawe ni wakristo au waislamu na wapagani wote ni raia, serikali inawajali kwa kukubaliana na Hospitali za wakristo zilizopo. Je, kama serikaliitaacha kutoa ruzuku na hospitali zikatoza gharama za juu, wewe utatibiwa wapi? Serikali itakapokuwa imejenga hospitali zake haitakuwa haja na MOU. Nanyi jengeni Hospitali zenu mtaingia kwenye MOU.
 
Sawa!
Ubalozi wa Vatican una faida gani kwangu mimi Muislamu?

Uendelee kujiuliza zaidi swali jingine pengine utaelimika ukipata jibu lake... kwanini Vatican ina balozi wake huko Saudi Arabia?
 
Waislamu mnaudhalilisha uislamu wenu hilo tamko nilakumtamkia ambae alikua anaishi Tanzania miaka ya sabini akaondoka amehamia Haiti hana taarifa zozote na Tanzania then amerudi sasa mnamsomea tamko lenu,aibu iliyoje,, Amani ya tanzania imeshikiliwa na ustaarabu wa wakristo na waislamu wasomi wachache otherwise tulishageuka wakimbizi siku nyingi...
 
Sidhani kama umelisoma tamko na kulielewa!
Tamko linajieleza lenyewe kuwa si viongozi wa Wakristo pekee wanaouliwa bali hata viongozi wa Waislamu pia wanauliwa lakini hilo halionekani!

Misikiti nayo pia inashambuliwa tamko linatoa mfano wa Mwembechai. Kila mtu anajua kuwa Waislamu ndio wavumilivu tokea zama za nyerere, leo hi wakati wanahoji tu kuhusu haki zao kibao kinageuzwa kuwa ni Wakristo ndio ambao ni wavumilivu na Waislamu ni wakorofi.

Hilo tamko pamoja na wanaoliunga mkono sioni nia ya dhati ya kuleta amani. Badala ya kuleta suluhisho, tamko linalalamika zaidi kuhusu 'amnyanyaso' dhidi ya waislam. Kifupi, ni kama tamko linasema kinachofanyika sasa ni halali 'kwa sababu waislam wameonewa sana hivyo wanalipiza kisasi'!!!!
 
Vipi kuhusu kejeli kwenye lile tamko la Maaskofu kuwa Kanisa lilifunga mkataba wa MoU na serikali ya Ujerumani na serilali ya Tanzania ilihusishwa kama observer tu?

Ndani ya MOU ninavyoelewa serikali ilitakiwa isitaifishe mali za kanisa kama ilivyokuwa imefanya hapo mwanzo, na hatimaye ikashindwa kuendesha hizo hospitali. Ujerumani ikakubali kuendelea kusupport hospitali kama serikali ya Tanzania haitataifisha tena. Badala ya kujitoa moja kwa moja katika suala la tiba kwa raia wake, ambao hawana Hospitali mfano Waislamu. Serikali ikakubaliana na makanisa yatoe huduma, na serikali itoe wafanya kazi na mishahara na madawa ili raia wote watibiwe sawa. Kumbuka wanaotibiwa ni raia, wawe ni wakristo au waislamu na wapagani wote ni raia, serikali inawajali kwa kukubaliana na Hospitali za wakristo zilizopo. Je, kama serikaliitaacha kutoa ruzuku na hospitali zikatoza gharama za juu, wewe utatibiwa wapi? Serikali itakapokuwa imejenga hospitali zake haitakuwa haja na MOU. Nanyi jengeni Hospitali zenu mtaingia kwenye MOU.
Naamini mantiki ya MoU ni kusaidia kuendesha taasisi zilizopo za kidini kwa faida ya wananchi wote. Sdhani hata kidogo kama lengo la MoU ni kuendesha makanisa kama kulipa posho na mishahara ya mapadri, maaskofu, wachungaji n.k. Waislam wanapolalamikia kulipwa fidia ya pesa kwa kipindi ambacho wamekaa bila MoU, walitaka hiyo MoU isaidie kujenga misikiti au kufanya nini? Ninachojua, kwa utaratibu wa sasa hv, hata wanafunzi wanaojiunga na vyuo vikuu binafsi wana nafasi ya kuomba mkopo kulingana na viwango vya serikali kupitia bodo ya mikopo. Ni suala la kuwa na taasisi zinazosimamia maslahi ya taifa lote kisha utaratibu wa serikali ku-support either directly or indirectly unaweza kufanyika. Haya mambo ya kutaka kudai "affirmative action" ndio yanaleta shida kama inavyotokea kwa ku-"genderize" professions!
 
Back
Top Bottom