imewafaidisha nini waliojiunga? Unaotea misada tu! Hujui cha mwenzio mavi kula uliwe? Hujiulizi chanzo cha mapato yao ni nini hadi wakusaidie wewe? Una umaskini gani tz hadi utegemee chama kama oic? JITAMBUE! Halafu katiba na malengo ya oic mbona yamekaa kishari? Mf katiba ya oic inazimisha nchi ndio ijiunge kwani oic ni nchi? Na lengo lake mojawapo ni kuwaunganisha nchi wanachama kuitandika Israel! Unaona hayo ni mawili tu! Leo unalinganisha nchi ya Vatican na kajichama ka kisanii?Ubalozi wa Vatican ambao unatoa huduma za kiroho kwa Wakristo tu umeruhiwa nchini wakati OIC ambayo itawafaidisha Watanzania wote inakataliwa, huoni kuwa Tanzania ni kwa Wakatoliki tu?
Duuh!imewafaidisha nini waliojiunga? Unaotea misada tu! Hujui cha mwenzio mavi kula uliwe? Hujiulizi chanzo cha mapato yao ni nini hadi wakusaidie wewe? Una umaskini gani tz hadi utegemee chama kama oic? JITAMBUE!
hayo makanisa ya Ujerumani au caritas yaliweka masharti kwamba ili isaidie lazima tz ijiunge na caritas? umebakia mou mou! Aliyewazuia nanyi kuanzisha mou nani? Ndio sababu sijawahi kusikia msikiti umejenga shule! Hospitali! Kisima cha maji...! Mmebakia alahu yaalam na ngenga tu! Ninachosikia toka misikitini ni adhana na kumsifia allah ni mkubwa! Kama allah mkubwa si mumuombe awashughulikie mnaodai wanawadhulumu? Someni albadiri! Itiqafu! Muhalira...Ili wale mnaoona wanawaonea allah awaangamize kuliko mikelele isiyo na mashiko mnayotupigia sie wengine ni walalahoi! si heri yako wewe raqaa3 unzianapata kwa wepesi? Kweli shukrani ya punda ni mashuzi! Nyerere amenyang'anya shule za kanisa ambazo zimejengwa kwa msaada wa sadaka zetu na wakristo wenzetu ili na nyie mpate wepesi leo mnachonga kichizi? daah!Duuh!Maaskofu walitoa tamko na bila ya wasiwasi wowote wakielezea wanavyosaidiwa na Makanisa ya Ujerumani hukusema kitu.Wakristo kutwa wanakuja humu na kujigamba jinsi walivyojengewa hospitali hii au ile, hujaonekana kuwalaumu kuwa wanaotea misaada tu....ila Muislamu ambaye hana MoU na serikali akitaka kujiunga na OIC ili naye apate angalau unafuu unapiga kelele kuwa anaotea misaada!
Pope alipokuja nchini alikuja kama kiongozi wa kidini au wa nchi?hayo makanisa ya Ujerumani au caritas yaliweka masharti kwamba ili isaidie lazima tz ijiunge na caritas? umebakia mou mou! Aliyewazuia nanyi kuanzisha mou nani? Ndio sababu sijawahi kusikia msikiti umejenga shule! Hospitali! Kisima cha maji...!
yote mawili!Pope alipokuja nchini alikuja kama kiongozi wa kidini au wa nchi?
alipopewa ripoti ya kuwa Wakristo wa Tanzania wameunda tume ya majeshi alipewa kama kiongozi wa kidini au wa nchi?yote mawili!