Viongozi wa CHADEMA waingia Zanzibar

Viongozi wa CHADEMA waingia Zanzibar

Screenshot_2025-03-21-19-22-19-1.png
 
Baada ya kumaliza mazungumzo yenye Mafanikio Makubwa na Ubalozi wa Marekani, Viongozi wa Chadema mchana huu Wameingia Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

View attachment 3278770

Mambo ni mengi sana ila muda ni mchache.

Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi.
======
Kazi imeanza Rasmi, Pichani Maalim Tundu Lissu akiwa kazini Zanzibar

View attachment 3278854
Huyu sie ndiye anaemsema Raisi kuwa hana jambo sababu ni
Mzanzibari
Mwanamke
Muislamu

Sasa unakwenda Zanzibar kufanya nini?
 
Baada ya kumaliza mazungumzo yenye Mafanikio Makubwa na Ubalozi wa Marekani, Viongozi wa Chadema mchana huu Wameingia Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

View attachment 3278770

Mambo ni mengi sana ila muda ni mchache.

Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi.
======
Kazi imeanza Rasmi, Pichani Maalim Tundu Lissu akiwa kazini Zanzibar

View attachment 3278854
Tapeli la kisiasa Hilo.Wanachama wake hawajajiandikisha atashinda vipi uchaguzi
 
Hiyo ndio demokrasia, aliye tayari kujiunga na team ya mabadiliko anakaribishwa, asiye tayari uamuzi wake unaheshimiwa.
Mjiandikishe kwa wingi mkapige kura oktoba mkaoneshwe kilicho mtoa kanga manyoya....khwiyooo...tumeibiwa!
 
Baada ya kumaliza mazungumzo yenye Mafanikio Makubwa na Ubalozi wa Marekani, Viongozi wa Chadema mchana huu Wameingia Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

View attachment 3278770

Mambo ni mengi sana ila muda ni mchache.

Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi.
======
Kazi imeanza Rasmi, Pichani Maalim Tundu Lissu akiwa kazini Zanzibar

View attachment 3278854
Wazanzibari wana akili sana kuliko Waangola! Hawakufukuzi lakini.......! Ahahahahaha!
 
Back
Top Bottom