kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,446
Usilewe bila kula....Unaumia unateseka huu mwaka Trump mtamwita baba....
Usilewe bila kula....Unaumia unateseka huu mwaka Trump mtamwita baba....
Hayo ndio matatizo ya kuiba paper...Do election matter in Zanzibar? By Prof. Kilian, B.
Najua huwezi lakini jitahidi usome hicho kitabu ili ujinga ukutoke
Pamoja na matusi na kashfa zote kwa wazanzibariBaada ya kumaliza mazungumzo yenye Mafanikio Makubwa na Ubalozi wa Marekani, Viongozi wa Chadema mchana huu Wameingia Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
View attachment 3278770
Mambo ni mengi sana ila muda ni mchache.
Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi.
======
Kazi imeanza Rasmi, Pichani Maalim Tundu Lissu akiwa kazini Zanzibar
View attachment 3278854
Pichani Maalim Tundu Lissu akiwa kazini Zanzibar