viongozi wa CHADEMA waendelea kusota Segerea

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,227
12,953
Mh Halima mdee na wenzake walio kamilishiwa taratibu za faini wameendelea kusota katika gereza la Segerea kwa kile kinachodaiwa mkuu wa gereza kuwepo kwenye kikao.

Hata hivo Mwananchi ilifanikiwa kutia timu katika viunga hivyo vya gerezani na kubaini kuwa wanasheria walifika segerea saa 11:30 jioni ambapo muda wa kazi ulikuwa umeisha.

Chanzo:- Mwananchi
 
Damn !!

It'll be weathered .. We'll pass through!
The fucking storm from the darkest side overss....soonn...
 
MAKAMANDA wanataka kila kitu kinachohusiana sheria, kanuni na taratibu za nchi zisifuatwe kabisa.
 
Back
Top Bottom