viongozi wa CHADEMA waendelea kusota Segerea

Mh Halima mdee na wenzake walio kamilishiwa taratibu za faini wameendelea kusota katika gereza la Segerea kwa kile kinachodaiwa mkuu wa gereza kuwepo kwenye kikao.

Hata hivo Mwananchi ilifanikiwa kutia timu katika viunga hivyo vya gerezani na kubaini kuwa wanasheria walifika segerea saa 11:30 jioni ambapo muda wa kazi ulikuwa umeisha.

Chanzo:- Mwananchi
Kwahiyo mkuu wa gereza alikuwa kwenye kikao wakati muda wa kazi umekwisha?
 
Mh Halima mdee na wenzake walio kamilishiwa taratibu za faini wameendelea kusota katika gereza la Segerea kwa kile kinachodaiwa mkuu wa gereza kuwepo kwenye kikao.

Hata hivo Mwananchi ilifanikiwa kutia timu katika viunga hivyo vya gerezani na kubaini kuwa wanasheria walifika segerea saa 11:30 jioni ambapo muda wa kazi ulikuwa umeisha.

Chanzo:- Mwananchi
Awanaaa adabuuuu wanahsiii jelaaa ya kichagaaa ile mnaingiaaa kama mko maranguuu pyuuuu
 
WAKATIII NIMEANDIKA POST MBOWE NA WENZIE WASHALLALA SAA TISA AMKUELEWAA EEH

KESHO WAJE KWA HESHIMA NA MDA MUAFAKA
 
Hawa majamaa kwa visa, yaani wanakwenda muda ukiwa umekwisha ili tu kuzua uongo uongo.
Inawezejana hadi sasa wamekusanya milioni 20 tu nani kaona. Ila sasa ili waonekane wanakubalika ni lazima waongeze masifuri sifuri. Hapo bado wabawalilia kina membe na matajiri wengine wawaokoe. Hivi we umekamilisha hela unachelewaje kumtoa mtuhumiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umerithishwa uganga wa kienyeji, ramli zushi.
 
Back
Top Bottom