Viongozi wa CHADEMA mtaacha lini vituko?

msuya haihitajiki uwe na degree ndo utambue walichofanya chadema ni unfair

Tatizo la akili za Kugundisha na Partex, namba za mawazili, wabunge, Raisi, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wengineo inatakiwa zijulikane Public na umma wote. acha mambo ya kikameroon
 

izo namba wengine hatujazpata please zimwagen apa za wabunge wote tanzania tuwaonyeshe kaz wez wakubwa hawa,
 

Haikubariki kwako. hizo number hata kwenye website ya bunge zipo wazi. Na kumbuka ni viongozi uchwara wa Bunge. na wanaishi na kutumia kodi zetu. Sasa ww mburula wa CCM umetokea lumumba kuja kuleta umbea hapa eti sio haki. CHEFUUUU!!
 
Kweli wewe ni satan
 
Wewe akili yako ni matusi na kejeli ndo unajiona una akili?
Tatizo la akili za Kugundisha na Partex, namba za mawazili, wabunge, Raisi, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wengineo inatakiwa zijulikane Public na umma wote. acha mambo ya kikameroon
 
They are naturally responsible leaders because they know human behaviour; some are bad tampered so to warn them about decent use of the speakers' mob. phones is a sign of political maturity. Viva cdm!
 
Hakuna kosa kisheria kwa sababu kwenye website ya bunge namba hizo ziko wazi. Lakini hata hivyo kitendo hicho nakiunga mkono kwa sababu viongozi wetu wanatakiwa kuwajibika kwa wananchi. Sipati picha mpaka sasa wamepokea sms ngapi lakini wanatakiwa kujutia vitendo vyao. Wametuboa mda mrefu na sasa wanalipa gharama ya unafiki!

Napendekeza kuanzia sasa hakuna miwaada ya kijinga kupita mbele ya wabunge wa Chadema, itabbidi wabunge wote 49 kusimama na kupiga kelele mpaka Spika ahahirishe bunge. Tungejua mapema sheria kandamizi zisingepita.

Aruta continua!!!
 
Mmmh ufikiri wako mdogo
Haikubariki kwako. hizo number hata kwenye website ya bunge zipo wazi. Na kumbuka ni viongozi uchwara wa Bunge. na wanaishi na kutumia kodi zetu. Sasa ww mburula wa CCM umetokea lumumba kuja kuleta umbea hapa eti sio haki. CHEFUUUU!!
 

Ndiyo maana kuna vitabu vya namba za simu (Telephone directory) ukienda posta unapewa, kukusaidia kutafuta namba ya simu ya mtu yeyote au namba ya shirika, chama, kiwanda n.k.
 
I honestly dont think there is anything bad with that. Kama ingekuwa kuwapigia kura za ubunge wasingetoa hizo namba? Tunaamini wao ni viongozi, hata kama watatukanwa lazima wajiulize kwanini watukanwe? Cha tujue kwamba sehemu kubwa ya wananchi ni maskini wanahitaji mwongozo. Walichofanya viongozi wa CHADEMA ni kujaribu kuwaambia wananchi kuwa viongozi si miungu watu but they are reachable and if they were or have not, then today is the right time they realize and make themselves reachable.Nafikiri mtoa uzi ana ile hali ya kuogopa viongozi kitu ambacho lema amesema ni dhambi kubwa na hiyo ni kweli!!! They are public servants mkuu usiogope. Sasa hivi watasema ni illegal lakini wanapopita kuomba kura huwa wanagawa namba wanasema nipigie muda wowote, why not now?
 

wameamuwa kuzitoa namba zao hadharani kwa vile na wao walifanyiwa undava na spika mbele ya bunge wenzao na huku watanzania pamoja na dunia nzima wakishuhudia live kwenye TV. pia wametoa hizo namba bila ridhaa yao kwa sababu na wao walifanyiwa undava bila ridhaa yao.Dawa ya moto ni moto,mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadam mchungu.
 
Scramble mayai au nani vile jinalo???Nilifikiri upo duniani kumbe lah!!!Wajitambua kweli?Yaani wewe katika dunia hii ya kupanga ni kuchagua unaona ni ajabu mfuko wa CEMENT KUUZWA 5,000/=Tshs?¿¿?NI NINI KINACHOKUFANYA UJITIE HAMNAZO?
 
Na wewe mwakidondo uache vituko kwa kuanzisha thread bila kutafakari.
Madam spika na naibu wake ****** namba zao za simu sio siri as long wako kwenye ofisi za umma na tunawalipa mishahara kwa kodi zetu.
Wakifanya vizuri wanasifiwa na wakiboronga lazima wanyweshwe sifongo!
 
Last edited by a moderator:
Sio vituko, its called HARDCORE POLITICS. Sema kwetu Bongo ndo ngeni ndo maana unashangaa.
 
Hizo ndizo sera zao, muda unakwenda wananchi wakiwapiga kibuti kwa kuwa hawana sera watadai wameibiwa kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…