mwakaila
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 1,053
- 157
Hatimaye chama cha democrasia na maendeleo chadema chazidi kuporomoka na kufikia wanachama wake na viongozi wa CDM CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA *IFM* kujiunga na Ccm. viongozi hao wakiongozwa na mwenyekiti wao Mussa Ndile na Ben mao wameiunga lasmi na Ccm leo hii 07/04/2014
huyu mleta habari muongo mkubwa hapa tuna discuss taarifa za uongo
mimi nasoma DIT baada ya kuona habari hii nimeenda IFM kujulia hali makamanda baada ya kuuliza tuu nikaambiwa LUMUMBA AT WORK SHAME ON YOU UMENIPOTEZEA MUDA