Viongozi wa CHADEMA chuoni IFM wahamia CCM!

Viongozi wa CHADEMA chuoni IFM wahamia CCM!

RaisMtarajiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
704
Reaction score
65
Hatimaye chama cha democrasia na maendeleo chadema chazidi kuporomoka na kufikia wanachama wake na viongozi wa CDM CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA *IFM* kujiunga na Ccm. viongozi hao wakiongozwa na mwenyekiti wao Mussa Ndile na Ben mao wamejiunga lasmi na Ccm leo hii 07/04/2014
 
Attachments

  • Ben mao.jpg
    Ben mao.jpg
    17.5 KB · Views: 562
  • ndile.jpg
    ndile.jpg
    27.4 KB · Views: 443
Pesa zina mwisho wake, huwezi kununua watanzania wote, kama ndiyo hivyo kwanini wote wasipate maendeleo?
 
Wanakubali kuwa na tabia kama ya yuda kwa vipande vya rupia watakuja kujuta siku moja juu ya maamuzi dhaifu waliyo yachukua sasa.
 
du, ama kweli chadema kama mbuzi wa hitima tu. kudadadeki kifo cha mende chaliiiiiiiiii. Hongeleni sana kwa maamuzi ya busara sana mliyochukua. kidum chama cha mapinduzi
 
Marehemu chagadema, rest in hell. Jana tumekuzika rasmi chalinze
 
Pesa zina mwisho wake, huwezi kununua watanzania wote, kama ndiyo hivyo kwanini wote wasipate maendeleo?
Mkuu chalinze vipi,je hii nayo unaikumbuka?.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    40.3 KB · Views: 298
Chagadema ni mavi ya kale hayanuki, hakina madhara tena
 
Hatimaye chama cha democrasia na maendeleo chadema chazidi kuporomoka na kufikia wanachama wake na viongozi wa CDM CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA *IFM* kujiunga na Ccm. viongozi hao wakiongozwa na mwenyekiti wao Mussa Ndile na Ben mao wameiunga lasmi na Ccm leo hii 07/04/2014

Mtahonga mtahangaika lakini kinachotakiwa ni uongozi bora tu! CCM alimuoa CUF, wakapata mtoto njiti anaitwa ACT anapumulia mashine ICU
 
Hatimaye chama cha democrasia na maendeleo chadema chazidi kuporomoka na kufikia wanachama wake na viongozi wa CDM CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA *IFM* kujiunga na Ccm. viongozi hao wakiongozwa na mwenyekiti wao Mussa Ndile na Ben mao wameiunga lasmi na Ccm leo hii 07/04/2014
viva ma comrade vivaaaaaaaa, hadi abaki dj zero peke yake pale ufipa, chezea kinana weyeeee
 
Mimi sielewi ni kwa Vipi vijana kabisa wanaweza kudhalilisha utu wao kiasi hicho! Eti wamejiunga na ccm? Anyway agenda ya sasa ni katiba, makamanda komaeni huko tuone mwisho wake kisha tuchukue hatua. Ccm siku zake zinahesabika, kwa heri ama kwa shari lazima waondoke.
 
Hao mwanzoni walijitambua ndio mana walijiunga na CHADEMA,la salsa sisi ndio tumewatambua kuwa ni wachumia tumbo.
 
Huku sio sehemu ya kusema maneno au taarifa ambazo hazina ukweli ndani yake maana mimi ni mjumbe wa kamati kuu ya chadema ifm na hakuna kiongozi wa chama wala mwanachama yeyote yule aliyehamia ccm..2ache uongo 2sitafute sifa za uongo.
 
Hatimaye chama cha democrasia na maendeleo chadema chazidi kuporomoka na kufikia wanachama wake na viongozi wa CDM CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA *IFM* kujiunga na Ccm. viongozi hao wakiongozwa na mwenyekiti wao Mussa Ndile na Ben mao wameiunga lasmi na Ccm leo hii 07/04/2014

Na wewe inawezekana ni mmojawapo unayejiita msomi
 
wachumia tumbo tu,Elimu haijawakomboa bado

Back
Top Bottom