Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
Ndugu Nuclear1
Baada ya kukusoma nimegundua nia yako hasa si kuishauri CDM kuhusu viongozi wa BAVICHA ila ni kutimiza lengo lako la bifu na Ben Saanane wengine ni uliowataja ni geresha tu. Halafu una elements za udini na ukanda tusimchague huyu kwa sababu anatoka kanda fulani au ni dini fulani. Sisi vijana tunachohitaji ni uwezo wa mtu kuongoza si dini yake wala kabila lake FSP.
Hiyo ndiyo hoja ambayo mtu mwenye Degree moja,karne hii ya 21 anaibuka nayo.Ni aibu kubwa sana.Ndiyo hoja za Chama chake kile