Viongozi - kasi ya kushiriki mazishi ni waga wa kufa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi - kasi ya kushiriki mazishi ni waga wa kufa?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Oct 15, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG][​IMG]

  Kama jitihada hizo zingefanyika katika masuala mazito yanayolalamikiwa ingeleta picha nzuri ya kujivunia kwa utendaji wao. kani kwenye maziko tu maana yake wanahofia tu kufa.
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Wanatafuta umaarufu kupitia misiba.
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Lengo ni nini hapa? Maua yawe makubwa au lipendeze?
   
 4. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mimi kwakweli sijaelewa kabisa lengo!
   
Loading...