Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,884
- 6,885
Kama jitihada hizo zingefanyika katika masuala mazito yanayolalamikiwa ingeleta picha nzuri ya kujivunia kwa utendaji wao. kani kwenye maziko tu maana yake wanahofia tu kufa.
Lengo ni nini hapa? Maua yawe makubwa au lipendeze?