Viongozi CWT acheni uoga.

Viongozi CWT acheni uoga.

kua chini ya CWT ni miskosi kabisa. Leo viongozi wa madaktari wametema cheche kukupiga stop ulahifu wa wakuu wa mikoa na wilaya kuawakamata na kuwatia rumande madakatari bila kufuta sheria. kamkuu ka mkoa kameota pumba, kanaamka na kuagiza dakatari awekwe rumande. upuuzi huu.

CWT wapuuzi sana nyinyi, kwanini nyinyi mko kimya? Bashite tu kila siku anajiteteaa kuhusu kufoji cheti, ila nyinyi utadhani mmezibwa midomo🙁
 
Acheni kuwa chamba jamani
Yaan ukimwambia mtu ukweli unamchamba?? Mwl gan wa primary mwenye div,. One au two, sas ngoja wagome halafu mtafute mmoja tu muulize unagomea nini kama ataweza kujidadavua ipasavyo nakuunganisha internet mwez mzima
 
kweli jamaa waoga..inatakiwa migomo itokee kipind cha mitihan ya NECTA..mpka leo no madaraja.
 
Mgomo hatuusikii ,msijifiche,acheni woga

serikali isiwatishe mnatetea haki za wafanyakazi,sio haki za serikali.

magufuli kawatisha, wanachama tunawaangalia!

Viongozi wote wa CWT ni Makada wa CCM Sitoshangaa siku akitokeza mtu kama Lissu Kiwania urais wa CWT watakuwa yale ya TLS
 
cwt ni tawi la ccm?

Unauliza Swali au unatoa jibu??90% ya viongozi wa CWT ni Makada wa CCM na wanafanya yote hata kutoa pesa za kampeni kwa CCM wakitegemea ukuu wa wilaya na ukuu wa mikoa hamna jipya.Waache watandikwe tu.
 
Yaan ukimwambia mtu ukweli unamchamba?? Mwl gan wa primary mwenye div,. One au two, sas ngoja wagome halafu mtafute mmoja tu muulize unagomea nini kama ataweza kujidadavua ipasavyo nakuunganisha internet mwez mzima
Hahahaaaa hawajiwezi kabisa na hii imetengenezwa na chama twawala, mtu akikiutia unyonge kwenye maswala ya uchumi ameku blunt hata kifikra
 
Hajasoma nini na wewe...... Waalim wa prmry c wale waliofeli au! Na wanajiendeleza kimagumash ivoivo wanaenda sec.

unaposema kufeli Ni 0 kama ile ya bashite ila ualimu kuna viwango japo ni vya chini ila tusiwadharau kiasi icho kisa elimu yetu sisi ni kubwa kuliko wao kwasababu bila wao tusingefika hapa tulipo
 
Baadhi ya walimu wameanza kujinyonga kwa msongo wa mawazo baada ya kauli ya Pombe kuhusu madai ya walimu.
 
Punguza ukali
Asilimia 90 ya walimu ni type ya bashite...walifeli kwa hyo ni waoga sana..tena bora waliopo private schools wanajielewa..serikalini ni vilaza vilaza kabisaaa...
Punguza ukali wa maneno ndg yangu, lakini pia mengine weka akiba. Nadhani umefika hapo ulipo na leo umeweza kuandika ukiwaponda Walimu baada ya kupitia mikononi mwa hao hao vilaza!
 
Back
Top Bottom