[h=6]JAMANI HEBU NIJUZENI KWANI POSHO ZINA KIZUNGUMKUTI GANI HUKO DOM?????????gud sunday[/h]29 minutes ago*·*Like*·*
- Yassin Aboubakar,*Violet Mzindakaya*and*Berinka Bella*like this.
Sanga Festo*Mtafute zito kwenye wall yake ameanalyize vizur.24 minutes ago*·*Like
Sanga Festo*Shemu mi c u23 minutes ago*·*Like
Violet Mzindakaya*mic u too shemu wangu...poa ngoja nicheki23 minutes ago*·*Like
Violet Mzindakaya*we henry kaka tuheshimiane kuwa kada siyo ndo kujua kila kitu minimeuliza kama ningekuwa najua ningeuliza?????au una hamu tu yakuiharibu jumap[ili yako kupitia kwangu????/kama huwezi kunambia jichenge siyo lazma we vp???/21 minutes ago*·*Like
Chacha Mathew*Yaps, check na Zito ndo mwanzilishi wa hili sekeseke, hawa wengine watakuzingua 2 ccta V.19 minutes ago*·*Like
Violet Mzindakaya*mi zitto siyo rafiki yangu kwenye fcb......nyi niambieni tu,,kwani si mnajua??????18 minutes ago*·*Like
Violet Mzindakaya*sasa kaka wanyokee hao hao kwangu tutanyookana,,,,,,,,na hulazimishwi ku comment kwangu na mimi ni KADA,,,,,,,sasa fanya unalotaka.........17 minutes ago*·*Like*·**1 person
Yassin Aboubakar*Gwand boy unaongea nini wewe ?@ Henry Kileo17 minutes ago*·*Like*·**1 person
[*]
Violet Mzindakaya*‎@henry kilewo.....,,,,muulize wewe yassin mana naona kitui cha......tayari sa hizi anataka kumalizia kwangu heshima kuheshimianan bwana....15 minutes ago*·*Like
[*]
Violet Mzindakaya*umemaliza@henry kunyooka na mimi????13 minutes ago*·*Like
[*]
Sanga Festo*Zito amesewa waziri mkuu inatakiwa ajiuzulu ama Afukuzwe kazi.Nikutokana na kusaliti maamuzi ya mapema kabla ya bunge kuwa Posho za wabunge zielekezwe kwenye Mfuko wa maendeleo wa miaka mitano(nadhani unajua mpango huo).Kwa kuwa amekiuka makubaliano anastahili kufukuzwa au Ajiuzulu mtoto wa mkulima.Ni hayo shemeji yangu.(plz acha kuharibu siku yako).12 minutes ago*·*Like
[*]
[*]
Hassan Haruna*sister usiwe mkali hizo ni changamoto@Violet Mzindakaya10 minutes ago*·*Like
[*]
Violet Mzindakaya*nakushukuru sana kwa ujumbe wako.........jipe moyo10 minutes ago*·*Like
[*]
Yassin Aboubakar*hahahaha kijana niko njiani naja kuangalia unavyo sema wameharibu niko Klein kwa sasa Gwanda boy @ Henry Kileo ni aje Building ? hahaha8 minutes ago*·*Like
[*]
Violet Mzindakaya*wala misina ukali kaka hasan,,,,,sema minimeuliza nieleweshwe naanza kuambiwa muulize Pinda si kashfa hiyo mi pinda namtoa wapi kumuuliza nimefanya makosa kuwauliza nyinyi marafiki mniambie.......................tatizo hatupendi kuelewa huyu anataka kufahamu nini????/we kada ndo jibu hilo????minikada kweli kwani nimeandika kwenye status yangu mininani?????CHANGAMOTO ziwe akili siyo matope na chuki binafsi7 minutes ago*·*Like
[*]
There is another old poet whose name I do not now remember who said, "Truth is the daughter of Time."6 minutes ago*·*Like*·**1 person
[*]
Violet Mzindakaya*sijui kiingereza andika lugha yetu ya taifat*Henry4 minutes ago*·*Like
[*]
Yassin Aboubakar*hahahaha unasikia kada hajui kingereza @ Henry kilewo , Kama vipi mpige kwa kiswahili gwanda2 minutes ago*·*Like