Kada wa CCM anena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kada wa CCM anena

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicas Mtei, Jun 7, 2011.

 1. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  kada maarufu wa ccm kwenye face book dada olivia sanare atoa kauli kali kuhusu ccm.......

  na haya ndo aliyoyasema
  na hapa chini ni baadh ya comments za baadhi ya watu walomtumia...


  · LikeUnlike ·
  • William Malecela, Olivia Sanare-mwanaharakati and 3 others like this.
   • [​IMG]


   • [​IMG]

    Allan Ahmed wizi mbona umesahau?3 hours ago · LikeUnlike

   • [​IMG]

    Godfrey Assenga There u ar Olivia, wanatumia mbinu chafu kufikia malengo yao kisiasa.
    3 hours ago · LikeUnlike

   • [​IMG]

    Mhina Kihili leo mwanaharajkati umeongea ukweli na undani wako hongera3 hours ago · LikeUnlike

   • [​IMG]

    Daudi Ismail Isma lakini ngoja nikwambie jambo hayo sio malengo ya ccm ispokuwa watu wasiokuwa na mapenzi na ccm lakini ccm malengo yake ni kuwatunza wananchi kwa kila hali lakinii huko serikalini wapo watumishi ambao ni cdm na vyama vyengine ndio wanakuwa n...a sifa hizo lawama zinakuja kwa ccm jamani tofautisheni kati ya mmiliki wa duka na muunza duka maana ccm hakuna cha kuiba ni serikali ambako ndio waliko wezi heeeee mwanaharakati umelewaSee More
    3 hours ago · LikeUnlike · 1 personIssa Mtemvu likes this.

   • [​IMG]

    Olivia Sanare-mwanaharakati Hiyo serikali inaongozwa na chama gan?lowasa,mramba,farijala na kina rostam sio makada wa ccm?daud hatuwezi kukwepa hapo juu hilo jinamizi linatusumbua sana..mungu ibariki ccm3 hours ago · LikeUnlike

   • [​IMG]

    George Ngoda Jr Teh teh teh! Nilikua napita naelekea ng'ambo nikirudi nitacomment.2 hours ago · LikeUnlike

   • [​IMG]

    Olivia Sanare-mwanaharakati Daud kuna wakati tunatakiwa kuwa wakweli jamani,bila ccm imara nchi itayumba,dr.slaa alisema kuna richmond tukakataa then ikawa kweli,slaa huyo huyo alisema Epa tukakataa then ikatokea,huyo huyo aliwataja mafisadi ndani ya ccm tukakataa wee...e hatimae rais na viongozi wa ccm wakakiri kuwepo mafisadi hadi kufikia kujivua gamba,ccm tukubali kukoselewa ili kuimarisha chama tukiendelea kusifia unafki na kusema kidumu chama tawala hata kwenye uongo tunakiua chama na gamba lake..Kidumu chama tawalaSee More
    2 hours ago · UnlikeLike · 2 peopleYou and Olivia Sanare-mwanaharakati like this.

   • [​IMG]

    Henry Mgassa King II qweli asee!!2 hours ago · LikeUnlike

   • [​IMG]

    Issa Mtemvu ‎@olivia ni kweli serikali inaongozwa na CCM lakini bila kutambua walioshika madaraka wengi hawaitakii mema serikali ya ccm,sina hakika na itikadi zao.kwakuwa serikali ni ya CCM kwa kila ikifanya vibaya lakini ni ya wote inapofanya vizuri ...basi huu ni wakati muafaka kutafuta makada wa ccm kuiongoza serikali ya CCM.Na si kuweka watu wanaotoa siri za serikali kwa kina Slaa, Zito na nk.Hauku ndio kujivua gamba kijumla ndani ya chama na serikali kwa ujumla.Mpo hapo????See More
    2 hours ago · LikeUnlike · 1 personOlivia Sanare-mwanaharakati likes this.

   • [​IMG]

    Genecius Kaiza Lol!2 hours ago · LikeUnlike

   • [​IMG]

    Olivia Sanare-mwanaharakati Mtemvu tuelewane tu ni kweli viongoz weng c waaminifu kwa serikali yao lakini ni wana ccm hao hao we cant hide the truth kwa kweli..2 hours ago · LikeUnlike · 2 peopleLoading...

   • [​IMG]

    Muganyizi Jovenary Ndo maana nakupenda we sio mnafiki2 hours ago · LikeUnlike

   • [​IMG]

    Issa Mtemvu Dada sio wote wengi wa watumishi wanataka mabadiliko hasa ukizingatia maisha magumu ndani ya utumishi wa umma wanajaribu kutafuta mlango wa kutokea,cha msingi uadilifu unaletwa na amani ya moyo vinginevyo utalaumu kila mtu.umesahau slaa ali...sema''msifikiri ndani ya serikali na vyombo vya dola ni ccm hapo tumegawana nusu kwa nusu''hivyo taarifa lazima wazipate.si unaona hatari hiyo???Ni lazima tuwachuje sasa na makada wapewe nafasi kulinda heshima ya nchi.See More
    2 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]

    Olivia Sanare-mwanaharakati Mtemvu bado tunarudi pale pale kwanin maisha mabovu kwa ho watumishi?maslah mabovu ya watumishi wa serikali ndio yanayosababisha wao kuvujisha siri ambazo pia ni za ukweli..je nin mwisho wa hayo kwa serikali ya ccm? 2 hours ago · LikeUnlike · 2 peopleLoading...

   • [​IMG]

    Mohamed Said inaonyesha unaipenda sana siasa miss o mwanaharakat?about an hour ago · LikeUnlike

   • [​IMG]

    Kevin Raphael ‎@Oliva kama kunasiku umenifurahisha ni leo na hayohayo ndio yanafanya CCM itakufa kwa sababu ya kuficha ukweli...kidumu CHADEMAabout an hour ago · LikeUnlike

   • [​IMG]

    Honourable King Solomon Olivia now ur talking..hivi hauko tena CCM au ndo umeamua kutokuwa na chama?about an hour ago · LikeUnlike

   • [​IMG]

    Olivia Sanare-mwanaharakati Solo sina side B ya chama kingne zaidi ya CCM ila ukweli ni nguzo daima.kidumu chama tawalaabout an hour ago · LikeUnlike

   • [​IMG]Nicas Bravo Mtey hongera sana olivia kwa kauli yako uloitoa. naona sasa ndo umeanza harakati zako. zile za mara ya kwanza zilikuwa ni propaganda tu. nimefrah kwa kuwa umegundua na umethubutu kulisema hlo wazi wazi kabisa. bora wewe umeyaongea hayo niahc watakuelewa vyema sana.......... ningesema mimi nadhan wangeanza kunitukana na kuniponda kwa kila namna.....HONGERA SANA MDOGO WANGU OLIVIA.....@OLIVIA.47 minutes ago · LikeUnlike

   • [​IMG]

    Honourable King Solomon Mh bt nimependa mtazamo wako..keep it up wangu kosoa chama kiendelee18 minutes ago · LikeUnlike

   • [​IMG]

    Sixtus Mapunda Olivia rekebisha neno NGUZO KUU NDANI YA CCM. Unaposema nguzo ni muhimili unaobeba uhai wa kitu au muonekano wa kitu. Nyumba ya ghrofa kumi au na zaidi utaitambua kwa nguzo zake. kifupi nguzo ndiyo uhai wa kitu na ndiyo muongozo wa kitu. U...kiniambia leo nguzo yetu CCM ni Ufisadi, fitina, chuki na majungu mimi nitakukatalia kwa sababu niliingia CCM nikijua nguzo zake zipo wazi na zimeainishwa katika katiba yetu na imekiri kabisa rushwa ni adui wa haki, imekiri fitina ni mwiko, imekiri cheo nidhamana, imekiri binadamu wote ni ndugu zangu. Hizi ndizo nguzo za CCM. Sasa ulichopaswa kusema wana CCM wameacha nguzo zao za msingi na kuangukia huko unakokusema. Mimi nakujua wewe mwana CCM huna fitina wala siyo fisadi the same Daudi na Issa mtemvu na wengine wengi chungu mzima wasafi wakutolewa mfano lakini hao wate ni wanaCCM. Je Olivia nguzo yako wewe kama mwana CCM inayokuongoza ni ufisadi? Rushwa? majungu? fitna? mimi siongozwi na hayo kama kweli unayaamini hayo na ukakiri hadharani chama chako ni cha kifitini na cha kifisadi it is better uilinde Imani yako ujipambanue tofauti na hilo kundi na ufanye maamuzi magumu ya kuwaambia watanzania kuwa CCM ni Ufisadi na ufitini na kuanzia leo unabatizwa upya kwa misingi mingine nje ya hayo. Ila nitaendelea kukisemea chama changu siyo cha kifisadi ingawa nina kiri kuna wanachama mafisadi.See More
    14 minutes ago · LikeUnlike · 1 personLoading...

   • [​IMG]

    Olivia Sanare-mwanaharakati Mh.katibu hizo ni zangu mimi binafsi ninazoona kwa upande wa mabaya ya ccm hapo hutoki,kwa nguzn za kukiongoza chama ni hizo za kwako ahmada..kidumu chama tawala10 minutes ago · LikeUnlike

   • [​IMG]Nicas Bravo Mtey sasa unamlazimisha asiseme hvyo wakat inawezekana kuwa yeye ndo anaongozwa na nguzo hzo? as-lichokiandika hapo ndicho alichokiona na ndicho alicokiamini na ndo maana amefikia hatua ya kuandiuka hvvyo...... huo ni uhuru wa kutoa maoni kwa mujibu wa katiba ya nchi inavyosema....@mapunda8 minutes ago · LikeUnlike

   • [​IMG]

    Olivia Sanare-mwanaharakati Six alioko juu hamuoni wa chini kaka sisi wa chini tunayaona hayo yapoo na yanafanywa na wana ccm wenzako kama hayajakupata wewe yamewapata rafiki zako na watendaji wenzako ndani ya chama ni uoga tu wa kukhri hadharani madudu ya cham chetu tawala kwa kujilindia vyeo vyetu ila ukweli upo wazi na tunakiri wenyewe yakitufika shingoni kama ya kina magamba.2 minutes ago · Like

   
 2. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kaaazi kweli kweli
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Kumbe wenyewe kwa wenyewe wanaumana pia?? Nilidhani ile methali ina ukweli wowote kuwa meno ya mbwa hayaumani kumbe ni uongo......ngoja ngoja mwisho JK kaondoka, nimejisemea tu mie mlevi bana
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Anaonge ukweli mtupu! Mungu ibariki Tanzania! Zidumu fikra za Kikwete!
   
 5. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Dada Olivia ameonyesha kwa vitendo moja ya za Mwanaccm, "NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU NI MWIKO".
  Chama ni wanachama, lakini taswira ya chama ni uongozi. Kama viongozi wa chama watakuwa ni wezi na wanyang'anyi, hata kama asilimia tisini ya wanachama ni wacha Mungu kwa dhati kabisa, chama hicho kitaonekana cha majambazi tu.
  Mfano, Mh. Lowasa wakati akijiuzuru uwaziri mkuu alisema, "Kama tutaanza kuchunguzana hapa, hakuna atakayepona". Hakumaanisha wanachama wote wa CCM, bali viongozi wake wakiwemo wabunge n.k. Ili CCM irejeshe imani yake kwa wananchi inapaswa izaliwe upya.
  Apatikane mwenyekiti mpya (aliyepo amechangia sana kukidhoofisha, kaendekeza fitina, majungu na madudu kadhaa wa kadha yaliyokidhoofisha), huyo aanze kukijenga upya kwa kuwashirikisha wanachama wote katika maamuzi.
   
 6. M

  MPG JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magamba kazi wanayo kweli,ANGUKO LAO LIMETIMIA CCM,Ni heri kuwa kiziwi kuliko kumsikiliza Nape limbukeni
   
 7. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  She has spoken clearly! I like this.
   
 8. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Waacheni wafu wakazike wafu wao nyie njooni tuendelee na kazi yetu!
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Ni haki yake kusema na ni haki yetu kusoma tukikipenda tutakisifu, cha kufanyia kazi kitafanyiwa, kisicho na msingi kitabaki kama kilivyo.

  Mimi naona anatumia kikamilifu uhuru wake wa kujieleza. Au wewe unaonaje?
   
 10. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  She is absolutely right,tunahitaji watu kama hawa cdm wasiowanafiki.Welcome mama,the door is open for you
   
 11. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #11
  Jun 7, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  huyu Olivia ni Mnafiki tu, kajaa kiburi sana. Wakati wa uchaguzi alikua bingwa wa matusi dhidi ya viongozi wa Cdm, alishiri kuwaaminisha WaTZ kuwa ccm ni chama makini. Alishiriki kuwarudisha ccm madarakani. Leo anatujuza kuwa wanaccm nguzo zao ni pamoja na ufisadi. Kaujua lini ukweli huo. Mara ngapi ktk wall yake aliwakeji kina Slaa kwa matusi ?
  Nasema huyu binti ni takataka. Anajikosha .
   
 12. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Huyu binti kuna kitu kanyimwa.
   
 13. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wewe utatumia uhuru wako lini?
   
 14. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,209
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Eti lijinga imoja linapendekeza CDM wote waondolwe serikalini! Mbumbumbu la sheria na taratibu za kazi hili> Linadhani gamba kwao ni CDM? Lichama lao lazima life kama huyu ndio mwenye akili katika CCM
   
 15. 1

  19don JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  olivia kalibu cdm
   
 16. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Eti serikali iwatimuwe wasio makada wa magamba! Kama Mtafukuza watu wasiokuwa wanamagamba serikalini ili eti makada wa magamaba ndo waingie kudhibiti siri za serikali , basi ndo mtaangukia pua immediately tena kwa nguvu ya umma na wala siyo CDM.
   
 17. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Olivia alikuwa mwiba wa kutoa maneno makali kwa wana chadema na wote waliokuwa kinyume na CCM..Kama amefunguka na kulivua gamba ni dalili nzuri,na wengi watabadilika maana chama kinakoelekea ni aibu...Ukiendelea kutetea ohh nambari wani,Chama Tawala,Ari zaidi kasi zaidi..kwa upupu unaofanywa kila leo na viongozi wa hicho chama ipo siku hadi wewe unayetetea utajishtukia na kujiona ZUZU...
   
 18. m

  mwl JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 863
  Likes Received: 594
  Trophy Points: 180
  Sijambo!!!!
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,525
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  big up mwanaharakati, luanzia leo mimi ni rafiki yako aisee
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,525
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  Olivia hapa nimekukubali dada yangu kwa kuongea ukweli kama nilikukosea huko nyuma nisamehe. sasa hivi unaendana na jina lako kwani ni kweli watu wa chini ndio wanaoumia .wale wa juu hawaoni kitu na sisi tunapenda kukubaliana nao lakini kiukweli tunaumia wote , umeme wa mgao au foleni sio kwa wana chadema tu hata sisi wana ccm sasa tukipakana mafuta kwa mgongo wa chupa tutaumia hadi kufa
   
Loading...