technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,554
- 57,848
Iwafikie Amnesty international haraka
Kati ya vitu vya hovyo mchonga alifanya ni kuunda aina hii ya Muungano kwamba mtu wa ZnZ anaweza watawala watanganyikaMzanzibari atatumaliza Watanganyika jamani tustuke, na mbaya zaidi anawatumia Watanganyika wenzetu kutumaliza ili aendelee kutawala
drama za kutafuta kiki za kijinga
Asije akafika bei tu.Nawaza tu hapa kama hao watekaji wangekuwa wana access ya urahisi ya kuingia, au kuwafahamu members wakosoaji wote wa jamii forums! Aisee nina uhakika yangetokea mauaji ya halaiki.
Maxence Melo, congratulation brother. Unajitahidi sana kuwalinda ndugu zako humu jukwaani. Siku ikitokea ukawasaliti, basi tambua fika dunia haitakutambua tena kama shujaa na msimamizi wa sauti huru! Na badala yake utatambulika kama Yuda Iskarioti.
Naona wafi¥ji mmepata mboga nyinginedrama za kutafuta kiki za kijinga
Yupo hai na salama, rafiki yake amethibitisha hilo
Mafwele muaji aliyepewa JAMBA na wazir mkuu majaliwa k majaliwaMafwele strikes again .
AliambiwajeMafwele muaji aliyepewa JAMBA na wazir mkuu majaliwa k majaliwa
Well said mkuuNawaza tu hapa kama hao watekaji wangekuwa wana access ya urahisi ya kuingia, au kuwafahamu members wakosoaji wote wa jamii forums! Aisee nina uhakika yangetokea mauaji ya halaiki.
Maxence Melo, congratulation brother. Unajitahidi sana kuwalinda ndugu zako humu jukwaani. Siku ikitokea ukawasaliti, basi tambua fika dunia haitakutambua tena kama shujaa na msimamizi wa sauti huru! Na badala yake utatambulika kama Yuda Iskarioti.
Aisee! Ndiyo mawazo ya matured person hayo?Hasara!Hizi harakati zinakutaka uwe na power fulani katika jamii, wewe mtu umepata flowers elfu kadhaa ushakuwa mpigania uhuru!